Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Vumbi la angani ni hewa taka zilizoundwa na vipande vya mawe ambavyo hupatikana pamoja na gesi mbalimbali kati ya nyota na nyota ndani ya galaksi lakini... |
Vumbi (kwa Kiingereza "dust") ni vipande au vipisi vidogo sana vya mata kwenye hewa, kwenye uso n.k. Chembe za vumbi hufanywa kwa vitu mbalimbali ikiwa... |
zinazolizunguka pamoja na miezi yao, asteroidi, meteoridi, kometi na vumbi la angani, vyote vikishikwa na graviti ya Jua. Utaalamu kuhusu mfumo wa jua hujadiliwa... |
kundi la nyota nyingi, vumbi la angani, na maada ya giza zinazoshikamana pamoja katika anga-nje kutokana na mvutano wao. Nyota hupatikana angani katika... |
hali ya ombwe yaani utupu ambako kwa umbali mkubwa tu kuna magimba ya angani au vumbi. Lakini imejaa mnururisho wa aina mbalimbali na kani kama graviti.... |
Njia ya Jua (elekezo toka kwa Njia ya jua angani) njia ya Jua ni umbo la Mfumo wa Jua letu. Leo hii inadhaniwa asili yake ni mzunguko wa masi kubwa wa vumbi iliyokuwa takriban na umbo la sahani iliyozunguka... |
mengine ni madogo zaidi hadi kuwa punje za vumbi tu. Lakini densiti ya masi ya ukanda si kubwa na vyombo vya angani kadhaa vimeshapita ukanda bila kugongana... |
Ukanda wa Kuiper (elekezo toka kwa Kanda la Kuiper) umbo la wingu wa mviringo wa magimba ya angani; mengi yao ni madogo, machache makubwa kwa hiyo ukubwa kati ya vumbi na mawe hadi asteroidi na pia sayari... |
Nyota kwa mang'amuzi na lugha ya kawaida ni nuru ndogo zinazoonekana angani wakati wa usiku. Hali halisi nyota ni vitu sawa na Jua letu ambalo ni nyota... |
kiolwa kidogo cha angani kinachozunguka Jua katika anga-nje. Kikiingia katika angahewa la Dunia kinaonekana kama mwali wa moto angani. Kimsingi hakuna... |
kaskazini mwa Kenya. Katika mazingira yasiyo na machafuko ya hewa (ukungu, vumbi) au machafuko ya nuru kuna takriban nyota 2000 zinazoonekana vema kwa macho... |
Wingu la Oort (ing. Oort cloud) ni ukanda wa kudhaniwa angani unaozunguka mfumo wa Jua kwa umbali mkubwa nje ya mzingo wa sayari Uranus pia nje ya ukanda... |
plutoni vinaweza kusababisha kansa kama elementi hii inaingia mwilini kama vumbi au katika chakula. Baada ya kuzalishwa Plutoni inaendelea kuwa nururifu... |
Nyotamkia (kometi, pia nyota msafiri, shihabu, Kiing. comet) ni gimba dogo la angani linalozunguka Jua kwa njia ya duaradufu yenye sehemu kubwa mbali na Jua... |
Kiolwa cha kukaribia Dunia (elekezo toka kwa Gimba la kukaribia dunia) Jua zinazokaribia Dunia yetu. Hapa kuna uwezekano wa mgongano wa gimba la angani na Dunia. Migongano ya vimondo vidogo hutokea kila siku lakini kama kiolwa... |
km 1.5. Katika eneo la ikweta ya Mirihi kuna bonde la ufa kubwa sana, lenye urefu wa km 4000 na kina hadi m 7000. Vyombo vya angani vimefika Mirihi na... |
matetemeko ya ardhi na kulipuka kwa volkeno nyingi. Kutokana na vumbi na majivu yaliyorushwa angani nuru ya jua ilizuiliwa na hivyo kilitokea kipindi kirefu... |
Tunguska (Kusanyiko Matukio ya angani) inaweza kueleza kutokuwepo kwa vipande kwa sababu inafanywa na barafu na vumbi tu lakini wengi hawaamini ya kwamba ingeweza kufikia karibu na uso wa ardhi... |
Halley ni gimba lenye umbo la kufanana na karanga. Urefu wake ni kilomita 15.3, unene kilomita 7.2. Uso unafunikwa na vumbi na rangi ni nyeusi. Kutoka... |
kaskazini mwa Kenya. Katika mazingira yasiyo na machafuko ya hewa (ukungu, vumbi) au machafuko ya nuru kuna takriban nyota 2000 zinazoonekana vema kwa macho... |