Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Mfumo wa Jua (en:solar system) ni mpangilio wa Jua letu, sayari na sayari kibete zinazolizunguka pamoja na miezi yao, asteroidi, meteoridi, kometi na vumbi... |
Jua (alama: ) ni kitovu cha mfumo wa Jua wenye sayari nane, sayari vibete na magimba mengi madogo. Dunia ni sayari ya tatu katika mfumo huu. Jua ni nyota... |
upepo wa jua unaweza kuitwa dhoruba ya jua. Upepo wa Jua unatokea pia nje ya mfumo wa Jua letu kwa majua au nyota nyingine. Hapo unaitwa "upepo wa nyota"... |
Nusukipenyo ya Jua (ing. solar radius) ni nusu ya kipenyo cha Jua letu na hivyo sawa na umbali wa kilomita 696.342 au mara 109 nusukipenyo cha Dunia. Umbali... |
Jua. Mzunguko wa maji pia husogeza nishati katika mfumo mzima wa hali ya hewa. Kwa kuongeza, vipengele tofauti vya kemikali, muhimu kwa maisha. Mfumo... |
Wingu la Oort (Kusanyiko Mfumo wa jua) cloud) ni ukanda wa kudhaniwa angani unaozunguka mfumo wa Jua kwa umbali mkubwa nje ya mzingo wa sayari Uranus pia nje ya ukanda wa Kuiper. Ukanda huu... |
iliyo karibu zaidi na Jua katika Mfumo wa Jua. Jina lake limetokana na Kiarabu عطارد (soma ʿuṭaarid) inayomaanisha "mwendo wa haraka" kwa sababu kasi... |
zinazoweza kupita mbele ya Jua kwa macho ya mtazamaji duniani: Utaridi (Mercury) na Zuhura (Venus). Nje ya mfumo wa Jua mpito wa sayari-nje isiyoonekana... |
Kilatini. Jumla ya jua, sayari zote 8 pamoja na miezi yao, sayari kibete, vimondo, nyotamkia na asteroidi inaitwa mfumo wa jua. Sayari za jua letu hutofautiana... |
Mshtarii ni sayari ya tano kutoka Jua katika Mfumo wa Jua, na sayari kubwa kabisa ya mfumo. Tungamo yake inazidi mara mbili na nusu masi ya sayari nyingine... |
Ganimedi (mwezi) (fungu Marejeo) zaidi wa Mshtarii (Jupiter) ambayo ni sayari ya tano kutoka kwa Jua na sayari kubwa katika mfumo wa Jua. Ni pia mwezi mkubwa katika mfumo wa Jua. Kipenyo... |
Zuhura ni sayari ya pili katika Mfumo wa Jua. Kati ya sayari zote za Jua ndiyo inayofanana zaidi na Dunia yetu. Sayari hii ina majina mawili kwa Kiswahili:... |
Uranusi (Kusanyiko Mfumo wa jua) Kiswahili kwa sayari ya sita (Kng. Saturn). Ni sayari kubwa ya tatu ya Mfumo wa Jua hata kama mada yake ni hasa gesi iliyoganda. Jumla ya masi yake ni mara... |
Seresi (sayari kibete) (Kusanyiko Mfumo wa jua) sayari kibete ndogo inayojulikana katika mfumo wa jua letu na sayari kibete ya pekee iliyoko ndani ya ukanda wa asteroidi. Jina rasmi katika orodha ya sayari... |
ilionekana asili yake si katika mfumo wa Jua letu. Hii ni mara ya kwanza ya kwamba kiolwa kisichotoka katika mfumo wa Jua letu kilitazamwa kikipita karibu... |
Zohali (Kusanyiko Mfumo wa jua) Zohali ni sayari ya sita kutoka Jua katika Mfumo wa Jua. Ni sayari kubwa ya pili baada ya Mshtarii. Inaonekana kwa macho matupu si lazima kutumia darubini... |
Dunia (fungu Muundo wa Dunia) zinazozunguka Jua letu katika anga-nje. Kati ya sayari za Mfumo wa Jua, Dunia yetu ni sayari ya tatu kutoka kwa Jua. Masafa baina yake na Jua ni kilomita... |
Mpito wa Zuhura mbele ya jua (kwa Kiingereza transit of Venus) unatokea wakati sayari Zuhura (Venus) inapita katika mstari baina ya jua na dunia. Hii... |
Mwaka (fungu Mwaka katika kalenda ya jua) mwendo wa jua. Katika kalenda za jua mwaka unalingana na muda wa mzunguko mmoja wa dunia kwenye mzingo wake kuzunguka jua letu. Muda kamili wa mzunguko... |
Majiranukta ya anga (fungu Marejeo) ni mfumo wa majiranukta wa ikweta, mfumo wa majiranukta wa Altazimuth, mfumo wa majiranukta wa mbingu au wa jua na mfumo wa majiranukta wa galactic.... |