Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Kuna ukurasa unaoitwa "Malkia" kwenye Wiki Kiswahili. Angalia pia matokeo mengine ya utafutaji yaliyopatikana.
Kuhusu kete ya sataranji tazama: Malkia Malkia ni mtawala wa kike juu ya nchi katika utaratibu wa ufalme. Kwa kawaida amerithi cheo chake kutoka kwa mzazi... |
Malkia ni kete ya mchezo wa sataranji ambayo inasimama karibu na shaha mwanzoni mwa mchezo. Malkia hukaa kwenye mraba d1 kwa upande mweupe na mraba d8... |
Viktoria wa Uingereza (elekezo toka kwa Malkia Viktoria) Malkia Viktoria wa Uingereza (24 Mei 1819 – 22 Januari 1901) alikuwa malkia wa Ufalme wa Muungano wa Britania na Ueire tangu 1837 hadi 1901. Hakukuwa... |
Bahari ya Malkia Viktoria ni bahari ya pembeni ya Bahari Aktiki.... |
Elizabeth I wa Uingereza (elekezo toka kwa Malkia Elizabeth I) Kuhusu malkia mwingine mwenye jina hili ona Elizabeth II wa Uingereza Elizabeth I wa Uingereza (7 Septemba 1533 - 24 Machi 1603) alikuwa malkia wa Uingereza... |
Ave Regina caelorum (elekezo toka kwa Salamu Malkia wa mbingu) "Ave Regina Caelorum" (maana yake: 'Salamu Malkia wa Mbingu') ni utenzi wa Kikristo unaotumika katika liturujia ya Kanisa la Kilatini hasa kama antifona... |
Bikira Maria Malkia ni kumbukumbu ya kalenda ya liturujia ya Kanisa la Kilatini. Adhimisho hilo lilianzishwa na Papa Pius XII mwaka 1955 na kupangwa tarehe... |
Malkia wa Sheba (kwa Kiebrania מַלְכַּת שְׁבָא malkaṯ shəḇāʾ; kwa Kiarabu: ملكة سبأ) ni mhusika anayetajwa kwa mara ya kwanza katika Biblia ya Kiebrania... |
Malkia wa Mbingu (kwa Kilatini: Regina caeli; tamka: reˈdʒina ˈtʃeli) ni sifa mojawapo ya Bikira Maria katika Kanisa la Kilatini inayotumika hasa katika... |
Elizabeth II wa Uingereza (Kusanyiko Wafalme na malkia wa Uingereza) hii: Malkia wa Antigua na Barbuda Malkia wa Australia Malkia wa Bahamas Malkia wa Belize Malkia wa Kanada Malkia wa Grenada Malkia wa Jamaika Malkia wa... |
Malkia Cixi wa China (29 Novemba 1835 – 15 Novemba 1908) alikuwa mwanamke Mchina aliyeshika utawala wa China kwa miaka mingi wakati wa karne ya 19 na mwanzoni... |
Malkia Pokou (au: Awura, Aura, Abla Pokou; 1730 - takriban 1750/1760) alikuwa malkia na mwanzilishi wa kabila la Watu wa Baoule huko Afrika Magharibi,... |
Kamana, Malkia wa Jinga (alifariki 1810) alikuwa malkia wa Milki ya Jinga siku za leo nchini Angola kutoka mwaka 1767 hadi 1810. Alikuwa binti wa malkia Ana... |
Abar alikuwa malkia wa Nubia katika Ufalme wa Kush katika Kipindi cha karnr ys 25 cha Dola la Misri. Anajulikana kupitia mfululizo wa stela zilizopatikana... |
Visiwa vya Malkia Elizabeth (kwa Kiingereza: Queen Elizabeth Islands, Kifaransa: Îles de la Reine-Élisabeth) ndio kundi la visiwa kaskazini mwa Funguvisiwa... |
Salve Regina (elekezo toka kwa Salamu Malkia) "Salve Regina" (tamka:ˈsalve reˈdʒiːna; maana yake: 'Salamu Malkia') ni utenzi wa Kikristo unaotumika katika liturujia ya Kanisa la Kilatini hasa kama... |
Klotilda malkia (pia: Chrotechildis, Chrodigilde au Rotilde; Lyon, Ufaransa 475 - Tours, Ufaransa, 3 Juni 545) alikuwa mtoto wa Kilperiko II, mfalme wa... |
kamili kwa wafalme wa zamani. 1 Kogyere I Rusija-Miryango [Malkia] [1090-1120] 2 Kogyere II [Malkia] [1120-1130] 3 Kyomya I kya Isiimbwa [1130-1140] 4 Mugarra... |
Jamhuri inataja aina za serikali zisizo na mfalme, malkia, sultani au mtemi wowote. Mara nyingi wananchi humchagua kiongozi wao akiitwa mara nyingi rais... |
Malkia Oronsen ni orisha katika visasili vya Wayoruba. Alisadikiwa kuwa mke wa Olowo Rerengejen. Sherehe ya kila mwaka ya Igogo huko Owo inaadhimishwa... |