Elizabeth Ii Wa Uingereza

Elizabeth II alikuwa malkia wa Ufalme wa Muungano wa Britania (Uingereza na Welisi na Uskoti) na Ireland Kaskazini tangu mwaka 1952 hadi kufariki dunia tarehe 8 Septemba 2022.

Kuhusu malkia mwingine mwenye jina hili ona Elizabeth I wa Uingereza

Alikuwa malkia kwa miaka 70 na siku 214. Katika historia yote ya dunia wako watawala wachache waliodumu madarakani muda mrefu kuliko yeye. Soma zaidi wasifu wake hapa Anafuatwa na mwana wake wa kwanza, Charles III wa Uingereza.

Elizabeth Alexandra Mary
malkia wa Ufalme wa Muungano wa Britania (Uingereza, Welisi, Uskoti) pamoja na Ireland Kaskazini
malkia wa Ufalme wa Muungano wa Britania (Uingereza, Welisi, Uskoti) pamoja na Ireland Kaskazini
Tarehe ya kuzaliwa 21 Aprili 1926
Mahali pa kuzaliwa Mayfair, Uingereza
Ufalme wa Muungano
Tarehe ya kifo 8 Septemba 2022 (umri 96)


Elizabeth Ii Wa Uingereza
Elizabeth II mwaka 2006.

Alizaliwa kwa jina la Elizabeth Alexandra Mary Windsor mjini London tarehe 21 Aprili 1926 kama mtoto wa kwanza wa mfalme George VI wa Uingereza na Elizabeth Bowes-Lyon.

Alitangazwa kuwa malkia tarehe 6 Februari 1952 mara moja baada ya kifo cha baba yake George VI. Wakati ule alikuwa akitembelea Kenya iliyokuwa bado koloni la Uingereza akatembelea milima ya Aberdare.

Alipokea taji katika ibada rasmi tarehe 2 Juni 1953 kwenye kanisa la Westminster Abbey.

Kama mkuu wa Jumuiya ya Madola alikuwa pia mkuu wa dola wa nchi zifuatazo ndani ya jumuiya hii:

Katika nchi zote aliposhika cheo hakuwa na mamlaka ya kiserikali ila alitawala kama mfalme wa kikatiba katika muundo wa serikali ya kibunge.

Marejeo

Elizabeth Ii Wa Uingereza  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elizabeth II wa Uingereza kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

195220228 SeptembaBritaniaCharles III wa UingerezaDuniaHistoriaIreland KaskaziniMadarakaMalkiaMtotoMudaMwakaTareheUfalme wa MuunganoUingerezaUskotiWatawalaWelisi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Kiwakilishi nafsiChristina ShushoSalim KikekeUtandawaziMkoa wa TaboraUchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2020NzigeRejistaIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)HorusHadithiMaudhui katika kazi ya kifasihiBiashara ya masafa marefu ya Afrika MasharikiAkiliBongo FlavaMuzikiChelseaHarmonizeAnthropolojiaLugha za KibantuVipaji vya Roho MtakatifuItifakiSikioDuniaKupatwa kwa JuaArusha (mji)Bendera ya ZanzibarOrodha ya Marais wa MarekaniWaluoJamhuri ya Watu wa ZanzibarVitendawiliUbepariOrodha ya Marais wa TanzaniaHerufi za KiarabuDaktariFisiUshairiLingua frankaSanaaNathariNenoWaluguruMalengo ya Kiswahili kuwa lugha ya taifaMobutu Sese SekoMlo kamiliUzazi wa mpango kwa njia asiliaLigi ya Mabingwa AfrikaFani (fasihi)Mkataba wa Helgoland-ZanzibarKilatiniKitabu cha ZaburiFasihi andishiMamba (mnyama)BilioniToharaUhuru wa TanganyikaMishipa ya damuNafsiKajala MasanjaTungo sentensiKadi za mialikoHoma ya mafuaMajira ya mvuaLigi Kuu Tanzania BaraCristiano RonaldoViwakilishi vya idadiMnururishoTaswira katika fasihiAsidiMkutano wa Berlin wa 1885Mpira wa miguuMkoa wa GeitaHifadhi ya SerengetiJulius NyerereMkoa wa Ruvuma🡆 More