Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Kuna ukurasa unaoitwa "Kihaya" kwenye Wiki Kiswahili. Angalia pia matokeo mengine ya utafutaji yaliyopatikana.
Kihaya ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wahaya. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kihaya imehesabiwa kuwa watu 1,300,000. Kufuatana... |
Ubuntu limetoka kwenye lugha za Kizulu na Kixhosa za Afrika Kusini. Neno la Kihaya "Obuntu" au kwa Kiswahili "utu" linabeba, kwa kiasi fulani, maana ya neno... |
Mkoa wa Geita. Kilongo hutazamwa kama lahaja ya Kihaya. Ni lugha inayofanana sana na Kinyambo, Kihaya, Kiganda, Kinyankole, Kizinza, Kikara na Kisubi:... |
Tanzania, kandokando ya Ziwa Victoria hadi mpakani kwa Uganda. Lugha yao ni Kihaya. Kabila hilo ndilo linalojulikana kuliko yote ya mkoa wa Kagera, ila ndani... |
ilikuwa na wakazi wapatao 9,951 waishio humo. Lugha zinazotumika Minziro ni Kihaya, Kiganda na Kiswahili. Kutokana na kutumika kwa kiwango kikubwa na wakazi... |
(wao wanasema: Runyankole) na ni kati ya lugha za Kibantu. Inakaribiana na Kihaya. Idadi yao ni asilimia 9.5 za wananchi wote wa Uganda. "The Ankole Agreement... |
mkoani Kagera tarehe 4 Aprili 1976) ni mwanamuziki wa nyimbo za asili ya Kihaya nchini Tanzania. Saida alipata elimu ya msingi mwisho darasa la tano tu... |
Watutsi, linaloshabihiana sana na Wazinza. Lugha yao ya Kilongo ni lahaja ya Kihaya. Wanakaa katika Mkoa wa Geita. Walihamia Geita na Sengerema miaka mingi... |
Kifipa Kigogo Kigorowa Kigujarati Kigusii Kigweno Kiha Kihadza Kihangaza Kihaya Kihehe Kiikizu-Sizaki Kiikoma-Nata-Isenye Kiingereza Kiiraqw Kiisanzu Kijita... |
Kiswahili, huku shairi moja lenye beti moja likiwa limewekwa katika lugha ya Kihaya. Kitabu hicho kimejumuisha mashairi ya kijamii yaliyolenga siasa, mapenzi... |
Kagera nchini Tanzania. Mfano wake ni Kabaka wa Waganda. Neno hili kwa Kihaya na Kinyambo lina maana ya mkuu au mfalme, na jina la kiongozi huyo aliitwa... |
(lugha ya Kimaasai), washiriki wengine wa kikundi wanarap kwa Kiswahili na kihaya. Merege pia anajulikana sana kwa kutumbuiza katika mavazi ya kitamaduni... |
Lugha yao ni Kinyambo ambacho kinashabihana na Kinyankole, Kilongo na Kihaya. Wengi huwachanganya Wanyambo na Wahaya kwa kuwa lugha zao zinafanana. Inasemekana... |
Teresa wa Mtoto Yesu na wa Uso Mtakatifu, O.C.D. (Alençon, Ufaransa, 2 Januari 1873 - Lisieux, Ufaransa, 30 Septemba 1897) ni jina la kitawa la Thérèse... |
Louis Martin (Bordeaux, Gironde, Ufaransa, 22 Agosti 1823 - Arnières-sur-Iton, Eure, Ufaransa, 29 Julai 1894) alikuwa mwanamume Mkristo wa Utawa wa Tatu... |
Zelia Guerin (Saint-Denis-sur-Sarthon, Orne, Ufaransa, 23 Desemba 1831 - Alençon, Orne, Ufaransa, 28 Agosti 1877) alikuwa mwanamke Mkristo wa Utawa wa... |
chuma cha kaboni kilitengenezwa Magharibi mwa Tanzania na mababu wa watu wa Kihaya mapema miaka 2,300-2,000 iliyopita na mchakato tata wa "kabla ya kupokanzwa"... |