Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Kuna ukurasa unaoitwa "Eritrea" kwenye Wiki Kiswahili. Angalia pia matokeo mengine ya utafutaji yaliyopatikana.
Eritrea ni nchi ya Afrika ya Mashariki. Mashariki na Kusini-Mashariki Eritrea ina pwani ndefu katika Bahari ya Shamu. Upande wa Magharibi imepakana na... |
Eritrea, Eritrea, Eritrea ni wimbo wa taifa wa Eritrea. Ilipitishwa mnamo 1993 muda mfupi baada ya uhuru, iliandikwa na Solomon Tsehaye Beraki na kutungwa... |
Historia ya Eritrea inahusu eneo la Afrika Mashariki ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Eritrea. Hadi karne ya 19 maeneo ya Eritrea yalikuwa sehemu... |
Orodha ya miji ya Eritrea inaonyesha miji yote nchini Eritrea yenye wakazi zaidi ya 5,000. Rundiko kubwa nchini ni mji mkuu Asmara ambayo pamoja na mapambizo... |
Mkoa wa Kati (Eneo la Maekel) ni mkoa mmojawapo wa Eritrea, mdogo kuliko yote.... |
Mkoa wa Kusini (Eneo la Debub) ni mkoa mojawapo wa Eritrea.... |
Utalii nchini Eritrea ulikuwa 2% ya uchumi wa Eritrea hadi 1997. Baada ya 1998, mapato kutoka kwa utalii yalishuka hadi robo ya viwango vya 1997. Mwaka... |
Ed, Eritrea ni mji uliopo katika mkoa wa Bahari Nyekundu Kusini nchini Eritrea. Mwaka 2010 idadi ya watu ilikadiriwa kuwa 12,855. Orodha ya miji ya Eritrea... |
Uislamu nchini Eritrea ni dini ya pili kwa wingi wa waumini ambayo inafuatwa sana baada ya Ukristo ikiwa na asilimia 36-48 za wakazi wote. Imani hiyo... |
Gash-Barka (elekezo toka kwa Eneo la Gash-Barka, Eritrea) Gash-Barka ni mkoa mmojawapo wa Eritrea.... |
Dini nchini Eritrea hasa ni Dini za Abrahamu. Tangu Mei 2002, serikali ya Eritrea imetambua rasmi Kanisa la Kiorthodoksi la Eritrea (Tewahedo), Kanisa... |
Mto Damas ni korongo linalopatikana Eritrea na kuishia katika Bahari ya Shamu baada ya kupitia mji wa Ghinda. Orodha ya mito ya Eritrea... |
Vita vya Uhuru wa Eritrea vilipigwa miaka 1962-1991. Mwaka 1952 Umoja wa Mataifa ulikabidhi Eritrea kwa Ethiopia kama eneo la pekee lenye serikali na... |
Kanisa la Kiorthodoksi la Eritrea ni madhehebu ya dini ya Ukristo iliyotawala makabila ya Eritrea kaskazini kwa karne kadhaa hadi sasa. Wakristo hao wanaotaka... |
Mkoa wa Anseba (elekezo toka kwa Eneo la Anseba , Eritrea) Anseba ni mkoa wa Eritrea mpakani mwa Sudan. Wiki Commons ina media kuhusu: Mkoa wa Anseba... |
Mkoa wa Bahari Nyekundu Kaskazini (elekezo toka kwa Kaskazini Eneo la Ziwa Nyekundu, Eritrea) Mkoa wa Bahari Nyekundu Kaskazini ni mkoa wa Eritrea.... |
Mito ya Eritrea ni mingi, si chini ya 240; humu imeorodheshwa baadhi tu pamoja na matawimto: kulingana na beseni lake (kadiri inavyoelekeza maji yake... |
Bahari ya Eritrea (kwa Kigiriki ερυθρά θάλασσα, erythrá thálassa) ni jina la kale la Bahari ya Shamu na Bahari Hindi. Neno "erythra" katika lugha ya Kigiriki... |
Mto Mareb (Kusanyiko Mito ya Eritrea) Mto Mareb (au Gash) unaanzia katikati ya Ethiopia, unapitia Eritrea kaskazini hadi mashariki mwa Sudan ambapo kwa kawaida unapotea katika mchanga wa jangwani... |
Mkoa wa Bahari Nyekundu Kusini (elekezo toka kwa Kusini Eneo la ziwa Nyekundu, Eritrea) Bahari Nyekundu Kusini ni mkoa wa Eritrea unaoenea hadi mpaka wa Jibuti. 13°45′N 41°30′E / 13.750°N 41.500°E / 13.750; 41.500... |