Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Kuna ukurasa unaoitwa "Yerusalemu" kwenye Wiki Kiswahili. Angalia pia matokeo mengine ya utafutaji yaliyopatikana.
Yerusalemu (kwa Kiebrania ירושלים, Yerushalayim; pia: Kudisi kutoka Kiarabu: القدس, al-Quds) ni mji wa Mashariki ya Kati wenye pande mbili. Kwa upande... |
Yerusalemu ya Mashariki ni ile sehemu ya mji wa Yerusalemu iliyotawaliwa na Yordani kati ya 1948 na 1967 halafu kutwaliwa na Israel wakati wa vita ya siku... |
Hekalu la Yerusalemu lilikuwa kitovu cha ibada za dini ya Uyahudi wakati wa Israeli ya Kale. Kwa jumla kulikuwa na majengo mawili yaliyofuatana kwenye... |
Sirili wa Yerusalemu (kwa Kigiriki Κύριλλος Α΄ Ἱεροσολύμων; 315 – 386 au 387) alikuwa askofu wa mji huo nchini Israeli kuanzia mwaka 348 hadi kifo chake... |
Zakayo wa Yerusalemu (alifariki 116/134) kwa asili alikuwa Myahudi akawa askofu wa nne wa Yerusalemu kuanzia mwaka 111 hadi kifo chake. Tangu kale anaheshimiwa... |
Sofroni wa Yerusalemu (Damasko, Syria, 560 hivi - Yerusalemu, Israeli/Palestina, 11 Machi 638) alikuwa askofu wa Yerusalemu kuanzia mwaka 634 hadi kifo... |
Anjelo wa Yerusalemu, O.Carm. (Yerusalemu, leo Israeli/Palestina, 1185 – Licata, Sicilia, Italia, 1220) alikuwa mtawa na padri aliyefia dini. Anaheshimiwa... |
Marko wa Yerusalemu (alifariki 185) alikuwa askofu wa kwanza wa Yerusalemu ambaye kwa asili hakuwa Myahudi kuanzia mwaka 134, wakati ambapo mji huo ulijengwa... |
Mtaguso wa Yerusalemu au Mtaguso wa mitume ni jina linalotumika kwa mkutano uliofanyika mwaka 49 au 50 ili kuondoa tofauti za misimamo kati ya Wakristo... |
Aleksanda wa Yerusalemu (Kapadokia, leo nchini Uturuki, karne ya 2 – Kaisarea Baharini, leo nchini Israeli 251 hivi) alikuwa askofu wa Yerusalemu kwa miaka... |
Yohane II wa Yerusalemu (356 hivi – 10 Januari 417) alikuwa Patriarki wa Yerusalemu kuanzia mwaka 387 hadi kifo chake. Alishika nafasi ya Sirili aliyefariki... |
Atanasi wa Yerusalemu (alifariki Yerusalemu, Palestina, 452 hivi) alikuwa shemasi wa Kanisa la Kaburi na Ufufuo wa Yesu katika jimbo la huko. Aliteswa... |
967 KK: Huko Yerusalemu Solomoni anakuwa mfalme wa Israeli badala ya baba yake, Daudi. 965 KK: Kifo cha mfalme Daudi mjini Yerusalemu 925 KK: Kifo cha... |
Makari wa Yerusalemu (alifariki 335 hivi) alikuwa askofu wa Yerusalemu kuanzia mwaka 312 hadi kifo chake. Alishiriki Mtaguso wa kwanza wa Nisea (325) na... |
Matia wa Yerusalemu (alifariki 120 hivi) kwa asili alikuwa Myahudi akawa askofu wa Yerusalemu kuanzia mwaka 113 hivi hadi kifo chake. Alishika nafasi ya... |
yaliyotangulia. Ufalme wa Yuda unakoma mwaka 586 KK, Nebukadneza II alipoteka Yerusalemu na kuhamisha Wayahudi hadi Babuloni. Koreshi Mkuu, mara baada ya kushinda... |
Modesti wa Yerusalemu (Sivas, Kapadokia, leo nchini Uturuki, karne ya 6 – 17 Desemba 630) alikuwa askofu wa mji huo nchini Israeli. Kabla ya hapo aliuzwa... |
Alberto wa Yerusalemu (alizaliwa Castel Gualtieri, Italia, karne ya 12 - alifariki Akka, Israeli, 14 Septemba 1214) alikuwa kwanza kanoni, halafu askofu... |
Masimo wa Yerusalemu (alifariki 350 hivi) alikuwa askofu wa Yerusalemu kuanzia mwaka 333 hivi hadi kifo chake. Wakati wa dhuluma ya kaisari Maximinus Daia... |
Narsisi wa Yerusalemu (99 - 216) alikuwa askofu wa 30 wa Yerusalemu, uliokuwa umejengwa upya kama mji wa Kipagani, kuanzia uzee mkubwa hadi kifo chake... |