Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Kuna ukurasa unaoitwa "Ndugu" kwenye Wiki Kiswahili. Angalia pia matokeo mengine ya utafutaji yaliyopatikana.
Ndugu ni hasa mtu anayechanga na mwingine mzazi mmojawapo, lakini pia anayechanga naye babu, bibi au asili moja, kwa mfano mama mzazi ni ndugu kwa wanae... |
Ndugu Wadogo ni jina la Wafransisko wa Utawa wa Kwanza. Hapa inaelezwa historia yao na jinsi walivyogawanyika katika mashirika mbalimbali. Kifo cha Fransisko... |
Ndugu wa Yesu ni watu wa Israeli wa karne ya 1 wanaotajwa na Agano Jipya, mara nyingi kama wapinzani wa Yesu. Hata hivyo baadaye baadhi yao walishika... |
Kanisa la Moravian (elekezo toka kwa Umoja wa Ndugu) Kiingereza: Moravian Church; pia: Umoja wa Ndugu kutoka jina la kihistoria la Kilatini "Unitas Fratrum", au ndugu wa Herrnhut) ni madhehebu ya Ukristo wa... |
Ndugu wa Kiume na wa Kike wa Bethlehemu ni utawa wa Kanisa Katoliki ambao ulianzishwa na Petro wa Betancur nchini Guatemala katika karne ya 17, ukiwa... |
Injili Ndugu (zinaitwa pia Injili sinoptiki) ni Injili 3 za kwanza katika Agano Jipya ya Biblia ya Kikristo ambazo ni: Injili ya Mathayo, Injili ya Marko... |
Wakonventuali (elekezo toka kwa Ndugu Wadogo Wakonventuali) Utawa wa Ndugu Wadogo Wakonventuali (kwa Kiingereza Order of Friars Minor Conventual, kifupi OFM Conv), au Wafransisko Wakonventuali, ni tawi la shirika... |
pamoja na ndugu wa baba na mama, akina babu na bibi na kadhalika. Lakini hata Afrika kuna taratibu tofautitofauti kama ni ndugu wa baba au ndugu wa mama... |
linatumika kwa ndugu wa jinsia ya kiume, hasa akimzidi umri mwingine ambaye ni mdogo wake, lakini pengine hata kwa mdogo ikiwa msemaji ni ndugu wa kike anayetaka... |
Ndugu Wadogo wa Afrika ni wanaume na wanawake Wafransisko wamisionari wa Kanisa Katoliki wenye makao makuu mjini Morogoro (Tanzania). Cha kwao ni chama... |
Elia Bombarone (elekezo toka kwa Ndugu Elia) ya uongozi wa Yohane Parenti, Elia alichaguliwa kuongoza tena utawa wa Ndugu Wadogo. Elia alijiunga na Fransisko baada ya masomo ya sheria, akapewa naye... |
asili ya Kanisa. “Basi, ndugu, simameni imara, mkayashike mapokeo mliyofundishwa, ama kwa maneno, ama kwa waraka wetu… Ndugu, twawaagiza katika jina la... |
wala ndugu zake wala hataki kuwaona mpaka watubu. Mwishowe alitaka kila ndugu mdogo afe akishika kanuni mikononi. Katika wasia aliwakataza pia ndugu wote... |
kuhusu wafuasi wote wa Dominiko wa Guzmán (1170-1221), hasa wa Shirika la Ndugu Wahubiri alilolianzisha, mojawapo kati ya mashirika ya kitawa ya Kanisa... |
Dada ni jina ambalo linatumika tu kwa ndugu wa jinsia ya kike tu. Jina hilo laweza kutumika kuanzia kwa mtoto mwenye umri mdogo hadi mkubwa, bali hutumika... |
upendeleo wowote kwa ndugu wa ukoo, akimkemea mtangulizi wake Papa Pius IV alipotaka kumfanya kardinali mtoto wa miaka 13 kwa kuwa ni ndugu yake, tena alipotaka... |
padri wa Ndugu Wadogo Petro wa Assche, bruda wa Ndugu Wadogo Wilehadi wa Denmark, padri wa Ndugu Wadogo Teodoriko van der Eem, padri wa Ndugu Wadogo Nikasi... |
Kaskazini. Baada ya lugha yao kukoma mwishoni mwa karne ya 20, haieleweki kama kuna watu wanaojiona kuwa wa kabila hilo. Ndugu zao wa jirani ni Wairaq.... |
Wafransisko wa Kanisa Katoliki. Idadi yao inapita ndugu wanaume 10,000 duniani kote wakiongozwa na ndugu Mauro Jöhri wa kanda ya Uswisi. Ni shirika la kiume... |
Inosenti III akafuatwa na Papa Gregori IX. Ndiye aliyethibitisha Kanuni ya Ndugu Wadogo iliyotungwa na Fransisko wa Asizi kwa ajili ya shirika lake (29 Novemba... |