Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Kuna ukurasa unaoitwa "Molekuli" kwenye Wiki Kiswahili. Angalia pia matokeo mengine ya utafutaji yaliyopatikana.
Molekuli ni maungano ya kudumu ya angalau atomi mbili au zaidi. Ni pia kitengo kidogo cha kila dutu. Kama molekuli inapasuliwa ni dutu tofauti zinazojitokeza... |
Biolojia ya molekuli ni tawi la biolojia ambalo hujihusisha na misingi ya molekuli katika shughuli za kibiolijia ndani na kati ya seli katika viumbe hai... |
molekuli (au atomi) ndani ya gimba hutegemea na nishati mwendo ya molekuli zake. Nishati mwendo inaweza kuongezeka au kupunguza kiasi jinsi molekuli zinapokea... |
Hali maada hutofautiana jinsi vipande vidogo ndani ya dutu yaani atomu au molekuli zake zahusiana. Katika hali mango zinakaa pamoja kila atomu mahali pake... |
Vimeng'enya (kwa Kiing. enzyme) ni molekuli za pekee za kibiolojia zinazojengwa na mwili ambazo kazi yake ni kuharakisha michakato ya kikemia mwilini.... |
wa maada au molekuli tena. Sababu yake ni ya kwamba halijoto yenyewe kifizikia ni uso mwingine wa mwendo wa mada yaani mwendo wa molekuli na atomi. Katika... |
la fani ya kemia kwa ajili ya atomi au molekuli yenye chaji ya umeme. Hali hii inatokea kama atomi au molekuli imepokea au kupotewa na elektroni kwa hiyo... |
Polima (kutoka Kiingereza "polymer") ni molekuli ndefu iliyotengenezwa kwa kuungana pamoja vizio vingi vidogo vya kemikali. Jina polima linatokana na neno... |
ni kifupisho cha DeoxyriboNucleic Acid ambayo ni jina la Kiingereza la molekuli kubwa ndani ya seli za viumbehai wote. Kwa Kiswahili huitwa Asidi DeoksiriboNukleini... |
jua inafikia kiwiti inasababisha kemikali ndani yake kuvunja molekuli za maji. Molekuli ya maji ikivunjwa inatoa oksijeni, hidrojeni na nishati. Protini... |
Kolesteroli ni molekuli inayopatikana katika seli za wanyama na majimaji ya mwili. Kolesteroli ni dutu lainilaini ambayo hupatikana hasa katika mafuta... |
vile protini, kabohidrati, lipidi, homoni, vimeng'enya na mengine. Kuna molekuli nyingi zinazounda mwili wa binadamu. Biokemia inazichunguza na kuzifanyia... |
vimeng’enya mbalimbali na asidi za tumboni ili kupasua molekuli kubwa kama protini kuwa molekuli ndogo zaidi zinazoweza kutumiwa na mwili kutoa nishati... |
njia ya uvukizaji lakini hii inahusu molekuli karibu na uso wa kiowevu tu. Kwenye kiwango cha kuchemka molekuli mahali popote ndani ya kiowevu huanza... |
yake hupatikana hasa kama molekuli ya O2 yaani mchanganyiko wa kikemia wa atomi mbili. Kuna pia oksijeni ambayo ni molekuli ya atomi tatu unaoitwa ozoni... |
kumetesha au kukatua kitu. Atomu au molekuli katika hali mango Atomu au molekuli katika hali kiowevu Atomu au molekuli katika hali ya gesi Hali maada Kiowevu... |
hazishikani pamoja kama gimba mango bali zaelea kwa mwendo huria. Atomi na molekuli za gesi huelekea kusambaa na kukalia nafasi yote ambamo imewekwa. Gesi... |
Fuwele ni muundo wa gimba mango ambako atomi au molekuli zake zimepangwa kwa mpangilio maalumu unaorudia na kuendelea pande zote. Chumvi hupatikana kama... |
mwonekano wake katika umbo, urefu, upana, kipenyo, mzunguko, eneo, kiasi, au molekuli. Ukubwa hupimwa kwa vifaa mbalimbali vikiwa ni pamoja na rula, mizani na... |
wingi kabisa ulimwenguni lakini si duniani. Iko ndani ya maji na katika molekuli zote za mada hai. Atomi za H zina elektroni moja tu inayozunguka kiini... |