Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Mfumo wa Jua (en:solar system) ni mpangilio wa Jua letu, sayari na sayari kibete zinazolizunguka pamoja na miezi yao, asteroidi, meteoridi, kometi na vumbi... |
Jua (alama: ) ni kitovu cha mfumo wa Jua wenye sayari nane, sayari vibete na magimba mengi madogo. Dunia ni sayari ya tatu katika mfumo huu. Jua ni nyota... |
Jua (kwa Kiingereza: ecliptic) ni mstari wa kudhaniwa kwenye anga la Dunia ambako Jua linapita mbele ya nyota katika muda wa mwaka mmoja. Njia ya Jua... |
upepo wa jua unaweza kuitwa dhoruba ya jua. Upepo wa Jua unatokea pia nje ya mfumo wa Jua letu kwa majua au nyota nyingine. Hapo unaitwa "upepo wa nyota"... |
Ukanda wa Kuiper (kwa Kiingereza Kuiper belt) ni eneo la mfumo wa jua letu nje ya obiti ya sayari Neptuni lililopo kwenye umbali wa vizio astronomia) kati... |
Wingu la Oort (Kusanyiko Mfumo wa jua) cloud) ni ukanda wa kudhaniwa angani unaozunguka mfumo wa Jua kwa umbali mkubwa nje ya mzingo wa sayari Uranus pia nje ya ukanda wa Kuiper. Ukanda huu... |
unaozunguka jua kati ya njia za Mirihi na Mshtarii katika mfumo wa jua letu. Umbali wake na jua ni eneo kati ya 2 hadi 3.4 vizio astronomia. Gimba kubwa... |
Kilatini. Jumla ya jua, sayari zote 8 pamoja na miezi yao, sayari kibete, vimondo, nyotamkia na asteroidi inaitwa mfumo wa jua. Sayari za jua letu hutofautiana... |
zinazoweza kupita mbele ya Jua kwa macho ya mtazamaji duniani: Utaridi (Mercury) na Zuhura (Venus). Nje ya mfumo wa Jua mpito wa sayari-nje isiyoonekana... |
iliyo karibu zaidi na Jua katika Mfumo wa Jua. Jina lake limetokana na Kiarabu عطارد (soma ʿuṭaarid) inayomaanisha "mwendo wa haraka" kwa sababu kasi... |
Uranusi (Kusanyiko Mfumo wa jua) Kiswahili kwa sayari ya sita (Kng. Saturn). Ni sayari kubwa ya tatu ya Mfumo wa Jua hata kama mada yake ni hasa gesi iliyoganda. Jumla ya masi yake ni mara... |
Mshtarii ni sayari ya tano kutoka Jua katika Mfumo wa Jua, na sayari kubwa kabisa ya mfumo. Tungamo yake inazidi mara mbili na nusu masi ya sayari nyingine... |
Seresi (sayari kibete) (Kusanyiko Mfumo wa jua) sayari kibete ndogo inayojulikana katika mfumo wa jua letu na sayari kibete ya pekee iliyoko ndani ya ukanda wa asteroidi. Jina rasmi katika orodha ya sayari... |
Nusukipenyo ya Jua (ing. solar radius) ni nusu ya kipenyo cha Jua letu na hivyo sawa na umbali wa kilomita 696.342 au mara 109 nusukipenyo cha Dunia. Umbali... |
zaidi wa Mshtarii (Jupiter) ambayo ni sayari ya tano kutoka kwa Jua na sayari kubwa katika mfumo wa Jua. Ni pia mwezi mkubwa katika mfumo wa Jua. Kipenyo... |
ilionekana asili yake si katika mfumo wa Jua letu. Hii ni mara ya kwanza ya kwamba kiolwa kisichotoka katika mfumo wa Jua letu kilitazamwa kikipita karibu... |
Zuhura ni sayari ya pili katika Mfumo wa Jua. Kati ya sayari zote za Jua ndiyo inayofanana zaidi na Dunia yetu. Sayari hii ina majina mawili kwa Kiswahili:... |
inayoakisiwa. Mwili wa nyotamkia ni mchanganyiko wa mawe, vumbi na barafu. Nyotamkia hutokea katika sehemu za mbali za mfumo wa Jua, ng'ambo ya obiti ya... |
Zohali (Kusanyiko Mfumo wa jua) Zohali ni sayari ya sita kutoka Jua katika Mfumo wa Jua. Ni sayari kubwa ya pili baada ya Mshtarii. Inaonekana kwa macho matupu si lazima kutumia darubini... |
Kalenda ya jua-mwezi (kwa Kiingereza: lunisolar calendar) ni kalenda inayotumia awamu za Mwezi pamoja na mwaka wa jua. Kalenda ya Kiyahudi na ya Kichina... |