Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Vitabu vya Deuterokanoni vilihesabiwa rasmi kuwa sehemu ya Biblia hasa kuanzia Hati ya Damasi au De explanatione fidei, iliyotolewa na Papa Damasus I... |
Papa Konstantin alikuwa Papa kuanzia tarehe 25 Machi 708 hadi kifo chake tarehe 9 Aprili 715. Alitokea Syria. Jina lake la kuzaliwa pia lilikuwa Constantinus... |
mwisho kutokea nje ya Ulaya hadi alipochaguliwa Papa Fransisko mwaka 2013. Baba yake aliitwa Yohane. Alimfuata Papa Gregori II akafuatwa na Papa Zakaria. Mara... |
Papa Vigilio alikuwa Papa kuanzia tarehe 29 Machi 537 hadi kifo chake tarehe 7 Juni 555. Alitokea Roma, Italia. Alimfuata Papa Silverio akafuatwa na Papa... |
Papa Caio alikuwa Papa kuanzia tarehe 17 Desemba 283 hadi kifo chake tarehe 22 Aprili 296. Alitokea Dalmatia, leo nchini Korasya. Alimfuata Papa Eutychian... |
Kwa samaki anayeitwa kwa Kiswahili "papa" tazama papa (samaki) Papa (neno la mkopo kutoka Kilatini lakini lenye asili ya Kigiriki, πάππας, pappas, jina... |
Papa Konon alikuwa Papa kuanzia tarehe 23 Oktoba 686 hadi kifo chake tarehe 21 Septemba 687. Alimfuata Papa Yohane V akafuatwa na Papa Sergio I. Orodha... |
Papa Nikolasi III (1210/1220 – 22 Agosti 1280) alikuwa Papa kuanzia tarehe 25 Novemba/26 Desemba 1277 hadi kifo chake. Alitokea Roma, Italia. Jina lake... |
Papa Zephyrinus alikuwa papa kuanzia takriban 198 hadi kifo chake tarehe 20 Desemba 217/218. Alitokea Roma, Italia. Alimfuata Papa Vikta I akafuatwa na... |
kano. Gegedu inapatikana kwa mamalia hasa kwenye viungo vya mifupa. Kuna wanyama wengine kama papa ambako kiunzi chote kimejengwa kwa gegedu. Pamoja... |
Papa Sisinnio alikuwa Papa kwa wiki tatu tu kuanzia tarehe 15 Januari 708 hadi kifo chake tarehe 4 Februari 708. Alitokea Syria. Alimfuata Papa Yohane... |
Alimfuata Papa Boniface I akafuatwa na Papa Sixtus III. Akiwa na juhudi za kulinda na kupanua Kanisa, alianzisha uaskofu katika visiwa vya Britania akaunga... |
Papa Celestino IV (alifariki 10 Novemba 1241) alikuwa Papa kuanzia tarehe 25/28 Oktoba 1241 hadi kifo chake. Alitokea Milano, Italia. Jina lake la kuzaliwa... |
Papa Valentino alikuwa Papa kwa wiki chache tu kuanzia mwezi Agosti 827 hadi kifo chake mnamo Septemba 827. Alitokea Roma, Lazio, Italia. Alimfuata Papa... |
Papa Eugenio II alikuwa Papa kuanzia Februari/Mei 824 hadi kifo chake mnamo Agosti 827. Alitokea Roma, Lazio, Italia. Alimfuata Papa Paskali I akafuatwa... |
Papa Nikolasi V (15 Novemba 1397 – 24 Machi 1455) alikuwa Papa kuanzia tarehe 6/19 Machi 1447 hadi kifo chake. Alitokea Sarzana, Italia. Jina lake la kuzaliwa... |
Papa Agapeto II alikuwa Papa kuanzia tarehe 10 Mei 946 hadi kifo chake mnamo Desemba 955. Alitokea Roma, Lazio, Italia. Jina lake la kuzaliwa halijulikani... |
Papa Callixtus II (alifariki 13/14 Desemba 1124) alikuwa Papa kuanzia tarehe 2/9 Februari 1119 hadi kifo chake. Alitokea Burgundy, leo nchini Ufaransa... |
Papa Theodor II alikuwa Papa kwa siku ishirini tu hadi kifo chake mwezi wa Desemba 897 au Januari 898. Alitokea Roma, Lazio, Italia. Jina lake la kuzaliwa... |
Papa Boniface IX (1356 – 1 Oktoba 1404) alikuwa Papa kuanzia tarehe 2/9 Novemba 1389 hadi kifo chake. Alitokea Napoli, Italia. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa... |