Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Mwaka wa Kanisa (pia: mwaka wa liturgia / liturujia) ni mpangilio wa maadhimisho au kalenda inayoratibu majira na sikukuu za Ukristo katika muda wa mwaka... |
ukamilifu wa dahari” (Math 28:18-20). Kanisa kuwa la Mitume maana yake limejengwa juu ya Mitume 12 wa Yesu na kuongozwa na waandamizi wao. “Ukuta wa mji ulikuwa... |
Kanisa Katoliki ni jina linalotumika kwa maana mbalimbali, lakini hasa kumaanisha Kanisa la Kikristo linalokubali mamlaka ya kiroho ya Papa wa Roma kama... |
Kanisa maana yake ya kwanza kabisa ni "mkusanyiko wa waamini" kama ule wa Waisraeli chini ya Musa kwenye mlima Sinai walipopewa Amri za Mungu. Neno hilohilo... |
walikusanyika wao, Kanisa hai. Hivyo hadi leo mara nyingi neno hilo linatumika kwa maana ya jengo. Mtume Paulo aliwahi kulinganisha umoja wa Wakristo na jengo... |
"mitume". Hakika alikuwa na maana kubwa kufanya hivyo. Ndio mbegu ya taifa kubwa la waamini wake wote linaloitwa Kanisa, yaani mkusanyiko. Ndio waliotekeleza... |
Kanisa la Moravian (kwa Kiingereza: Moravian Church; pia: Umoja wa Ndugu kutoka jina la kihistoria la Kilatini "Unitas Fratrum", au ndugu wa Herrnhut)... |
Imani ya Kanisa (kwa Kilatini: fides Ecclesiae; kwa Kiingereza: Faith of the Church) ni wazo la msingi la teolojia ya Kanisa Katoliki. Maana yake ni kwamba... |
historia ya Kanisa. Mkuu wake ndiye Patriarki wa Moscow na wa Urusi wote (kwa maana ya Russia, Ukraina n.k.). Kwa sasa ni Kirill I. Mwanzo rasmi wa Kanisa ni... |
majimbo ya pekee kila upande. Askofu Mkuu wa Kanisa Anglikana Tanzania tangu mwaka 2018 ni Maimbo Mndolwa. Baada ya kutoka kwenye Jimbo la Afrika Mashariki... |
Kanisa kuu la Mtakatifu Joseph (kwa Kiingereza: St Joseph Cathedral church) ni kanisa lililopo katika Mkoa wa Dar es Salaam, Wilaya ya Ilala, mkabala na... |
msomaji wa Biblia anayetaka kuelewa vizuri zaidi, ili apate kuelewa mwenyewe, kuwafundisha wengine neno la Mungu na kutafsiri maana yake kwa maisha ya kila... |
Kipindi cha kawaida (Kusanyiko Mwaka wa Kanisa) kawaida ni kipindi cha liturujia katika mwaka wa Kanisa. Maelezo yafuatayo yanatokana na utaratibu wa Kanisa Katoliki, lakini kwa kiasi kikubwa yanahusu... |
ya mabishano ilitokea katika Kanisa la Aleksandria (Misri), ambapo kasisi Arios alikuwa amekanusha umungu wa Yesu, na hivyo alihukumiwa na Sinodi ya Aleksandria... |
anaheshimiwa kama mtakatifu na babu wa Kanisa. Mwaka 1298 Papa Bonifasi VIII alimuongezea sifa ya mwalimu wa Kanisa. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe aliyoaga... |
kama mtakatifu na babu wa Kanisa. Mwaka 1722 Papa Inosenti XIII alimuongezea sifa ya mwalimu wa Kanisa. Ni msimamizi wa mtandao na wa wanafunzi. Sikukuu yake... |
yao ni ya Kikatoliki kwa maana ya kwamba yako katika mwendelezo na asili ya Kanisa la kimataifa lililoanzishwa na Mitume wa Yesu. Waprotestanti wakati... |
Parokia (Kusanyiko Kanisa Katoliki) tafsiri ya Biblia ya Septuaginta kwa maana ya kukaa ugenini. Kanuni 515 za Sheria za Kanisa la Kilatini inasema, "Parokia ni jumuia rasmi ya waamini ambayo... |
Sakramenti (fungu Katika Kanisa Katoliki) kutumika kwa maana pana ya "ishara na chombo". Kwa mfano, "Kanisa ni sakramenti ya umoja". Kuanzia Thoma wa Akwino (karne ya 13) Kanisa Katoliki linaorodhesha... |
Sala ya Kanisa ndiyo sala rasmi ya madhehebu fulani ya Ukristo iliyopangwa ifanyike mara kwa mara kila siku. Kwa kawaida sala hizo zinapatikana katika... |