Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
lililohamia na watu walioleta lugha za kisemiti Ethiopia. Tazama pia: Orodha ya mito ya Ethiopia Ethiopia ina eneo la kilometa mraba 1,127,127 (maili mraba... |
Majimbo ya Ethiopia ni vitengo vikuu vya kujitawala chini ya ngazi ya kitaifa katika muundo wa shirikisho la Ethiopia. Kuna majimbo 9 yanayogawiwa kwa... |
Hii ni orodha ya miji ya nchi ya Ethiopia yenye angalau idadi ya wakazi 40,000 (2006). Mikoa ya Ethiopia Central Statistics Agency Archived 23 Februari... |
Addis Ababa (elekezo toka kwa Addis Ababa, Ethiopia) Addis Ababa (pia Addis Abeba; kwa Kiamhara አዲስ አበባ, "Ua Jipya"; kwa Kioromo Finfinne) ni mji mkuu wa Ethiopia na wa Umoja wa Afrika. Ina hadhi ya mji wa... |
Ukarasa huu una orodha ya Mawaziri Wakuu wa Ethiopia: Orodha ya viongozi... |
Waberta, Walaba, na Wasilt'e; pia wafuasi wengi miongoni mwao ni Wagurage na Waoromo. Imani hiyo iliwasili nchini Ethiopia mapema sana, muda mfupi baada... |
Mto Germama (Kusanyiko Mito ya Ethiopia) Mto Germama (pia: Kasam, Kesem. Kessem) unapatikana nchini Ethiopia. Ni tawimto la mto Awash. Orodha ya mito ya Ethiopia... |
utawala wake Kanisa la Kiorthodoksi la Ethiopia lilipata nguvu tena. Fasilides aliwakataa wamisionari Wakatoliki. Pia alikuwa na mabalozi mpaka Uhindi. Aliyemfuata... |
Goba, Ethiopia ni mji wa jimbo la Oromia nchini Ethiopia. Idadi ya wakazi wake ni takriban 49,309 (2016). Orodha ya miji ya Ethiopia http://www.citypopulation... |
Mto Wabe unapatikana kusini magharibi mwa Ethiopia. Ni tawimto la mto Omo, ambao linatokana na muungano wake na mto Gibe. Kwa njia hiyo maji yake yanaishia... |
Nile ya buluu (Kusanyiko Mito ya Ethiopia) Ndani ya Ethiopia mto huitwa kwa jina Abbai (mto mkubwa, pia Abay au Abai) kwa kuwa ndio mto mkubwa kabisa wa Ethiopia. Baada ya kutoka Ethiopia na kuingia... |
Mto Awash (Kusanyiko Mito ya Ethiopia) Mto Awash (kwa Kiamhara: አዋሽ; pia: Hawash, We'ayot, Webiga Dir) unapatikana nchini Ethiopia. Hauishii baharini, ila katika mfululizo wa maziwa. Upande... |
Mto Agwei (Kusanyiko Mito ya Ethiopia) Mto Agwei (pia: Agvei, Agvey) ni korongo linalopatikana magharibi mwa Ethiopia na mashariki mwa Sudan Kusini. Ni tawimto la mto Pibor linalopokea kwanza... |
Mto Robe (Ethiopia) unapatikana Ethiopia. Mwisho unachangia mto Jamma, tawimto la mto Abay (Nile ya Buluu). Orodha ya mito ya Ethiopia... |
Mto Meri (Ethiopia) unapatikana nchini Ethiopia. Ni tawimto la mto Tekeze ambao unaungana na mto Atbarah kuelekea Nile. Orodha ya mito ya Ethiopia... |
Mto Muger (Kusanyiko Mito ya Ethiopia) Mto Muger (pia: Muger) ni tawimto la mto Abay ambao unaungana nao katika majiranukta 9|55|07|N|37|55|50|E, katikati ya Ethiopia. Kati ya mito inayouchangia... |
Simba wa Yuda (Kusanyiko Ethiopia) 'Usilie: tazama, Simba wa kabila la Yuda, mjukuu maarufu wa Daudi, amefungua kitabu, na amefungulia mihuri yake saba'." Kwa sababu hiyo pia mashirika... |
Mto Yabus (Kusanyiko Mito ya Ethiopia) Mto Yabus (pia: Khor Yabus) unapatikana Ethiopia, Sudan na Sudan Kusini. Mwisho unapotea katika kinamasi cha Machar. Orodha ya mito ya Ethiopia Orodha ya... |
magharibi mwa Ethiopia. Ni tawimto la mto Gibe, ambao ni tawimto la mto Omo. Kwa njia hiyo maji yake yanaishia katika ziwa Turkana. Orodha ya mito ya Ethiopia... |
Ada wa Ethiopia ni kati ya Wakristo wafiadini wa Ethiopia. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 2 Juni. Watakatifu... |