Dawa

Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya

Kuna ukurasa unaoitwa "Dawa" kwenye Wiki Kiswahili. Angalia pia matokeo mengine ya utafutaji yaliyopatikana.

Tazama (20 zilizotangulia | ) (20 | 50 | 100 | 250 | 500)
  • Thumbnail for Dawa
    Dawa (kwa Kiingereza drug) ni dutu lolote -kama si chakula- ambalo linabadilisha hali ya mwili au ya roho ya mtu baada ya kuingizwa mwilini mwake. Njia...
  • Thumbnail for Mto Dawa (Jubba)
    Mto Dawa unapatikana nchini Ethiopia na unaunda mpaka wake na Kenya na Somalia. Ni tawimto la mto Juba ambao unaishia katika Bahari ya Hindi nchini Somalia...
  • Dawa ya kibiolojia ni dawa ya kudhibiti viumbehai wasumbufu au waharibifu ambayo ina viambato viasilia, k.m. vidubini au misindiko ya mimea. Dawa hizi...
  • Thumbnail for Dire Dawa
    Dire Dawa (kwa Kiamhari: ድሬ ዳዋ) ni mji nchini Ethiopia. Ina cheo cha mji wa kujitawala (ras gez astedader) kama jimbo la Ethiopia. Idadi ya wakazi wake...
  • Thumbnail for Matumizi sahihi ya dawa
    Matumizi sahihi ya dawa ni kufuata kanuni, taratibu na maelekezo yote sahihi kutoka kwa tabibu wa afya. Hivyo basi tabibu akimpa mtumia dawa za ugonjwa fulani...
  • Thumbnail for Daktari wa dawa
    Daktari wa dawa (pia: "mfamasia") ni daktari wa kitaaluma au shahada ya kwanza aliyesomea mambo ya dawa. Madaktari hawa hufanya kazi ya kugawa dawa sahihi...
  • Utumizi mzuri wa dawa (pia: uzingativu) katika taaluma ya uuguzi, inaelezea kiwango ambacho mgonjwa huzingatia ushauri wa daktari. Kwa kawaida, humaanisha...
  • Thumbnail for Dawa ya famasia
    Dawa ya famasia (kwa Kiingereza pharmaceutical, medicament au drug) ni dawa inayotumika kwa upimaji, tiba na kinga ya maradhi. Namna ya kutumia dawa (kwa...
  • Thumbnail for Madawa ya kulevya
    mno. Dawa za kulevya hutumiwa kwa njia nyingi ikiwemo kuvuta kama sigara na bangi, kula kama peremende, kumeza kama tembe, kunusia hasa zile dawa za kulevya...
  • Uwanja wa michezo wa Dire Dawa ni uwanja wenye matumizi mengi uliopo huko Dire Dawa nchini Ethiopia. Hivi sasa unatumiwa zaidi kwa mpira wa miguu, kwa...
  • Thumbnail for Dawa ya meno
    Dawa ya kusugulia meno ni kemikali inayotumika pamoja na mswaki wa kisasa kusafishia meno yazidi kupendeza na kuwa na afya. Inasaidia kuondoa harufu mbaya...
  • kompyuta}} . Matumizi mabaya ya dawa (inayojulikana pia kama matumizi ya dawa kwa lengo lisilofaa) ni matumizi ya dawa ambapo mtumiaji huzitumia kwa viwango...
  • maana sawa kwa dawa za kulevya na utegemeaji wa vileo, wengine kwa mfano hutoa ufafanuzi finyu kwa dawa za kulevya ambao hutenga dawa zisizo na ushahidi...
  • Thumbnail for Tume ya Kuratibu Udhibiti wa Dawa za Kulevya
    Tume ya Kuratibu Uthibiti wa Dawa za Kulevya Tanzania (Kiingereza: Drugs Control Commission of Tanzania au kwa kifupi DCC ni chombo cha umma ambacho kinashirikiana...
  • Mto Dawa (Kilifi) unapatikana katika kaunti ya Kilifi, kusini mashariki mwa Kenya (eneo la pwani). Mito ya Kenya Orodha ya mito ya kaunti ya Kilifi Geonames...
  • Thumbnail for Dawa za mfadhaiko
    kuingiliana na watu. Dawa kama vile vizuia oksidesi vya monoamini (MAOIs), dawa dhidi ya mfadhaiko aina ya trisaikliki (TCAs), dawa dhidi ya mfadhaiko aina...
  • Thumbnail for Dubu dawa
    kuhariri juu ya matini ya makala kwa kutumia alama za {{tafsiri kompyuta}} . Dawa ya dubu ni kizuia dubu mahususi kwa dubu aina ya erosoli, ambayo viambato...
  • Thumbnail for Mazao
    Mazao mengi ni vyakula kama nafaka, mboga, au matunda. Mazao mengine ni ya dawa, kama vile kwinini, au nyuzi kama vile pamba, au vifaa vingine kama vile...
  • Dawa za kuzuia ubalehe ni homoni zinazotolewa kwa watoto ili kuchelewesha ubalehe wao. Dawa hizo zilianza kutumika katika miaka ya 1980 kwa watoto walioanza...
  • Thumbnail for Kokain
    (kutoka Kiingereza Cocaine, pia inajulikana kama coke), ni kisisimua-mwili au dawa ya kulevya inayotengenezwa kutokana na majani ya kituka cha koka kinachostawi...
  • dawa (wingi madawa) kitu ambacho mgonjwa hutumia ili apone Kiingereza: medicine (en) Kalenjin: ketik (kln) Luhya: kamalesi (luy) Kikuyu: ndawa (kik)
Tazama (20 zilizotangulia | ) (20 | 50 | 100 | 250 | 500)

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

HakiMrisho NgassaVivumishi vya pekeeYesuMuzikiAndalio la somoWamanyemaWaheheGhubaKwaresimaLionel MessiPijini na krioliUkabailaAlomofuViunganishiKifua kikuuOrodha ya Marais wa KenyaNgonjeraMadhehebuHadhiraZambiaUsultani wa ZanzibarNyukiWakingaOrodha ya viwanja vya ndege nchini TanzaniaUfaransaChemchemiMbuga za Taifa la TanzaniaSumakuBawasiriUtawala wa Kijiji - TanzaniaMuda sanifu wa duniaAbrahamuIntanetiBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiMfumo wa JuaNishatiShairiNamba za simu TanzaniaUfahamuChuraKuraniLatitudoKanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaLugha ya taifaMatumizi ya lugha ya KiswahiliMbwaNetiboliHarrison George MwakyembeBurundiBaraza la Maaskofu Katoliki TanzaniaMpira wa miguuOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaTheluthiMivighaMkwawaUongoziMizimuOrodha ya watu maarufu wa TanzaniaThamaniTafsiriUgonjwa wa uti wa mgongoYouTubeMikoa ya TanzaniaMkoa wa Dar es SalaamHistoria ya uandishi wa QuraniKibodiPasaka ya KiyahudiMbwana SamattaTumainiFerbutaWayahudiKumaNairobiSemiHisiaUjima🡆 More