Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Wachache nyumbani wanaongea mojawapo kati ya lugha asili za Australia. Angalia pia Orodha ya lugha za Australia. Katika sensa ya mwaka 2021, Wakristo walikuwa... |
Australia ya Kusini (Kiing.: South Australia) ni moja ya jimbo 8 ya kujitawala ya Jumuiya ya Australia. Idadi ya wakazi wake ni takriban 1,601,800. Mji... |
Lugha za Kinyunyulan ni familia ndogo ya lugha nchini Australia. Katika familia hiyo kuna lugha tisa tu ambazo huzungumzwa upande wa kaskazini ya jimbo... |
Australia ya Magharibi (Kiing.: Western Australia) ni moja ya jimbo 8 ya kujitawala ya Jumuiya ya Australia. Idadi ya wakazi wake ni takriban 2,163,200... |
bamba la Pasifiki, bamba la Australia na mengine madogo. Hata wataalamu hawapatani kuhusu mipaka ya eneo hilo. Kwa lugha nyingi za dunia jina la "Oceania"... |
Lugha za Kipama-Nyungan ni familia ya lugha nchini Australia. Katika familia hiyo kuna lugha takriban 300, yaani ni familia kubwa kabisa barani mwa Australia... |
Lugha za Kimirndi ni familia ndogo ya lugha nchini Australia. Katika familia hiyo kuna vikundi viwili ambavyo lugha zake huzungumzwa katika jimbo la Northern... |
Kinyunga (au Kinoongar) ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wanyunga katika jimbo la Australia Magharibi. Katika sensa ya mwaka... |
Lugha za Kigunwinyguan (au Kigunwingguan) ni familia ndogo ya lugha nchini Australia. Katika familia hiyo kuna lugha zaidi ya kumi ambazo huzungumzwa upande... |
kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wanugunu katika jimbo la Australia Kusini. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii... |
katika bara la Oshania (Australia na nchi jirani nayo). Lugha asilia Lugha ya kuundwa Lugha mama Lugha ya pili Lango la lugha Wiki Commons ina media... |
Lugha za Kiworrorran ni familia ndogo ya lugha nchini Australia. Katika familia hiyo kuna lugha kumi na mbili ambazo huzungumzwa upande wa kaskazini ya... |
Lugha za Kijarrakan (au Kidjeragan) ni familia ndogo ya lugha nchini Australia. Katika familia hiyo kuna lugha tatu tu ambazo zilikuwa zinazungumzwa katika... |
ya Jumuiya ya Australia. Idadi ya wakazi wake ni takriban 6,039,100 (Machi 2016). Mji mkuu wake ni Melbourne. Orodha ya miji ya Australia Wiki Commons... |
Melbourne (elekezo toka kwa Melbourne, Australia) Melbourne ni mji mkubwa katika Australia ya kusini na mji mkuu wa jimbo la Victoria. Ina wakazi 3,720,300. Mji uliundwa mwaka 1835 kando ya hori ya Port... |
Lugha za Kiyolngu (pia za Kiyuulngu) ni kundi la lugha ndani ya Lugha za Kipama-Nyungan nchini Australia. Katika kundi hilo kuna lahaja nyingi ambazo huainishwa... |
Kiyanda ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wayanda katika jimbo la Queensland. Mwaka wa 2012 kulikuwa na wasemaji wachache tu... |
Kimbara kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wambara katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea... |
Kimarra) ni lugha ya Kigunwinyguan nchini Australia inayozungumzwa na Wamara katika jimbo la Northern Territory. Isichanganywe na lugha ya Kimara inayozungumzwa... |
Kimanda ni lugha ya Kidaly nchini Australia inayozungumzwa na Wamanda katika jimbo la Northern Territory. Mwaka wa 1983, kulikuwa na wasemaji wa Kimanda... |