Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Afrika Mashariki katika miaka 1800-1845 ilikuwa na mabadiliko makubwa kama ifuatavyo. Jumuiya za pwani zilikuwa zimetengana, kila moja ikiwa huru kutoka... |
Afrika ya Mashariki ya Kijerumani (au: ya Kidachi; kwa Kijerumani Deutsch-Ostafrika -DOA-; kwa Kiingereza German East Africa) ilikuwa jina la koloni la... |
Kampeni za Afrika ya Mashariki zilikuwa mfululizo wa mapigano ya kivita yaliyotokea Afrika ya Mashariki ya Kijerumani (Tanganyika, Rwanda na Burundi ya... |
Mkataba wa Helgoland-Zanzibar (Kusanyiko Historia ya Afrika) na athira kuu katika Afrika. Mkataba ulihusu maeneo katika Afrika ya Mashariki, Afrika ya Kusini-Magharibi (leo Namibia) na Afrika ya Magharibi (Togo ya... |
Uendo wa historia ya Tanzania (fungu Marejeo) wawindaji tu walau miaka 10,000 iliyopita. Mawasiliano ya Wazungu katika Afrika ya Mashariki yalifanywa mnamo karne ya 15 na mpelelezi wa Ureno, Vasco da Gama... |
na kuanzisha mafunzo ya wachungaji wa Kiafrika. A.E.M. Anderson-Morshead [1845-1928], The History of the Universities’ Mission to Central Africa 1859-1898... |
Schutztruppe (Kusanyiko Afrika ya Mashariki ya Kijerumani) Ilianzishwa katika Afrika ya Mashariki ya Kijerumani (hasa Tanganyika ya baadaye) ikaendelea kupanuliwa pia katika makoloni ya Afrika ya Kusini-Magharibi... |
Hamed bin Mohammed el Murjebi (fungu Marejeo) Tip; 1837 – 14 Juni 1905) alikuwa mfanyabiashara mashuhuri katika Afrika ya Mashariki na ya Kati wakati wa karne ya 19. Alikutana na wapelelezi mashuhuri... |
Ujamaa (elekezo toka kwa Ujamaa wa Afrika) na mtindo wa Kiafrika wa maendeleo; huo ukawa msingi wa Usoshalisti wa Afrika. Ujamaa linatokana na neno la Kiswahili linalomaanisha familia au jamii... |
Tanganyika (Kusanyiko Nchi za kihistoria za Afrika) mara ya kwanza tangu mwaka 1886 kama koloni la Ujerumani lililoitwa Afrika ya Mashariki ya Kijerumani. Kabla ya kufika kwa ukoloni kulikuwa na madola madogo... |
Vita ya Abushiri (Kusanyiko Afrika ya Mashariki ya Kijerumani) pwani ya Tanganyika kuzuia utawala wa Kampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki mwaka 1888/1889 lililokandamizwa na jeshi la Wajerumani. Wajerumani... |
Sanamu ya Askari (fungu Marejeo) kumbukumbu ya askari na wapagazi Waafrika waliopiga vita hivyo katika Afrika ya Mashariki hasa kati ya Uingereza na Ujerumani ambao wengi wao walikufa. Zilipelekwa... |
Rugaruga (Kusanyiko Afrika ya Mashariki ya Kijerumani) Rugaruga ilikuwa jina kwa aina mbalimbali ya askari wa kienyeji katika Afrika ya Mashariki wakati wa karne ya 19 na 20. Jina "Rugaruga" lilikuwa maarufu tangu... |
Vita ya Maji Maji (Kusanyiko Afrika ya Mashariki ya Kijerumani) utawala wa kikoloni wa Ujerumani katika maeneo ya kusini ya koloni la Afrika Mashariki ya Kijerumani. Vita hivyo vilishirikisha baadhi ya makabila ya kusini... |
Abushiri ibn Salim al-Harthi (Kusanyiko Afrika ya Mashariki ya Kijerumani) aliongoza upinzani dhidi ya utawala wa Shirika la Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki katika eneo la Pangani. Baada ya miezi ya mapambano (taz. vita ya... |
Mkwawa (Kusanyiko Afrika ya Mashariki ya Kijerumani) Tangu mwaka 1885 hivi Wajerumani walianza kuunda koloni lao katika Afrika ya Mashariki ya Kijerumani (Tanganyika pamoja na Rwanda na Burundi za leo). Kwa... |
Mkoa wa Pangani (Kusanyiko Afrika ya Mashariki ya Kijerumani) Kijerumani Bezirk Pangani) ulikuwa mkoa wa kihistoria katika koloni la Afrika ya Mashariki ya Kijerumani ukahesabiwa kama mkoa wa tatu kati ya mikoa 24 ya koloni... |
John Magufuli (fungu Marejeo) mitano na nusu hadi kifo chake. Aliwahi kuwa Mbunge wa jimbo la Biharamulo Mashariki katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania na tangu mwaka 2010 aliteuliwa... |
kutajirika kwa biashara ya watumwa na bidhaa mbalimbali kutoka bara la Afrika iliyofanyika kutoka vituo vyao visiwani. Hadi leo karibu wote wanaongea... |
Mkwawa kwa sababu Wahehe walikuwa tishio kwa uenezaji wa koloni la Afrika ya Mashariki ya Kijerumani. Kikundi chake kilikuwa na kombania 3 zenye maafisa... |