Jazz

Jazz ni aina ya muziki iliyoanzishwa nchini Marekani.

Jazz huunganisha tabia za muziki ya Kiafrika pamoja na tabia za muziki ya Ulaya.

Jazz
Louis Armstrong aliyeitwa "Mfalme wa Jazz"
Jazz
Bendi ya King & Carter Jazzing Orchestra ilikuwa kati ya kindi za kwanza za Jazz mjini Houston Texas

Historia

Jazz ilianza mnamo mwanzo wa karne ya 20 Marekani. Kati ya vyanzo vyake ni muziki ya wamarekani weusi waliowahi kutunza muziki ya kiafrika kati yao kutokana na mababu waliopelekwa kama watumwa kutoka nchi za Afrika Magharibi. Pamoja na hayo walitumia pia sehemu za muziki ya Wamarekani wazungu yenye asili ya pande mbalimbali za Ulaya. Watalaamu kadhaa huitwa muziki yenye sauti ya Kiulaya pamoja na mpigo wa Kiafrika.

Neno la "jazz" kwa muziki ilitokea mara ya kwanza mjini New Orleans iliyoenea kutoka hapa katika maeneo jirani na miji mikubwa ya Marekani. Staili ya kusini ya Marekani iliitwa wakati ule "dixiland" kutokana na jina kwa ajili ya kusini ya nchi hii.

Kutoka asili hizi kuna aina nyingi za jazz zilizoendelea.

Wanamuziki mashuhuri

Wanamuziki muhimu wa Jazz ni pamoja na:

Wapiga tarumpeta:

Wapiga saxophone:

Wapiga trombone:

  • Glenn Miller
  • J.J. Johnson
  • Curtis Fuller

Wapiga klarineti:

Wapiga piano:

Wapiga gitaa:

  • Charlie Christian
  • Joe Pass
  • Django Reinhardt
  • Wes Montgomery

Wapiga ngoma

Waimbaji

Tags:

MarekaniMuziki

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MisaVivumishi vya idadiTenziWaheheIsraeli ya KaleUharibifu wa mazingiraThamaniMwenge wa UhuruMuunganoRamaniKishazi huruMishipa ya damuNguzo tano za UislamuVolkenoMisimu (lugha)NyegereHifadhi ya NgorongoroSarufiNyegeNamba tasaMitume wa YesuVihisishiNadhariaHoma ya manjanoUfinyanziMnara wa BabeliMgawanyo wa AfrikaUnyagoOrodha ya Marais wa TanzaniaMaambukizi ya njia za mkojoUkimwiLugha rasmiVita Kuu ya Kwanza ya DuniaBarua pepeOrodha ya Marais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoMmeaLisheSalaOrodha ya maziwa ya TanzaniaMafurikoHuduma ya ujumbe mfupiWazaramoMkanda wa jeshiStephane Aziz KiOrodha ya Marais wa UgandaWanyaturuMkutano wa Berlin wa 1885MashineSikioUandishi wa ripotiChawaNafsiMkoa wa ShinyangaUislamuOrodha ya mito nchini TanzaniaWabunge wa Tanzania 2020Mfumo katika sokaOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaWanyamaporiOrodha ya vitabu vya BibliaUtataDodoma MakuluAli KibaMafua ya kawaidaUundaji wa manenoBabuKisaweHarmonizeP. FunkInsha za hojaAsidiMnyoo-matumbo MkubwaSakramentiUpinde wa mvuaTahajiaNgano (hadithi)🡆 More