Sinagogi

Sinagogi (au sunagogi) ni nyumba ya dini na ya jamii ya Wayahudi inayotumika hasa kusali.

Sinagogi
Ukumbi wa sinagogi kisiwani Rhodos, Ugiriki.
Sinagogi
Sinagogi ya Kale mjini Praha

Etimolojia

Jina linatokana na neno la Kigiriki συναγωγή syunagoge, likimaanisha "mkutano"; ni tafsiri ya neno la Kiebrania בית כנסת beit knesset, yaani "nyumba ya mkutano".

Wayahudi hutumia pia neno la Kiyiddish "shul" (=shule) kutajia sinagogi.

Muundo

Chumba kikuu ni ukumbi wa sala lakini mara nyingi kipo pamoja na vyumba vya pembeni kama vile madarasa, ofisi na vinginevyo.

Ukumbi wa sala huwa na sehemu zifuatazo:

Historia

Katika Israeli ya Kale (kabla ya maangamizi ya Yerusalemu mwaka 587 KK) inaonekana hakukuwa na sinagogi: walau halitajwi kabisa katika Agano la Kale.

Hakuna uhakika kamili lakini inaonekana ya kwamba masinagogi yalianzishwa baada ya hekalu ya Yerusalemu kubomolewa pamoja na kuanza uhamisho wa Wayahudi kwenda nchi mbalimbali.

Baada ya hekalu hilo kujengwa upya, masinagogi yaliendelea kutumiwa na Wayahudi kama nyumba ya kuabudia pia, ila si ya kutolea sadaka za altareni.

Tofauti ni kwamba masinagogi yalikuwa mengi katika Israeli na mahali pote walipoishi Wayahudi nje ya nchi hiyo, lakini kulikuwa na hekalu moja tu duniani, lile la Yerusalemu ambalo kila Myahudi, hata kama alikuwa mbali na mji huo, alipaswa kwenda kuabudu kule wakati wa sikukuu za mwaka.

Tangu kuharibiwa kwa Hekalu la Pili mwaka 70 Wayahudi wana masinagogi tu kufanyia ibada.

Sinagogi  Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

DiniJamiiNyumbaWayahudi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Jumuiya ya Afrika MasharikiKipazasautiMfumo wa nevaMkoa wa KataviLil WayneMwarobainiFasihiJipuTupac ShakurMkataba wa Helgoland-ZanzibarMartin LutherOrodha ya Marais wa UgandaRamaniJakaya KikweteFalsafaShinikizo la juu la damuOrodha ya Marais wa BurundiDubuKipepeoUtohoziLava Lava (mwimbaji)Homa ya mafuaIsraelKajala MasanjaPijini na krioliIsraeli ya KaleOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMashariki ya KatiPijiniKinembe (anatomia)Roho MtakatifuMazoezi ya mwiliKisaweUti wa mgongoSalim KikekeSakramentiUainishaji wa kisayansiMuziki wa hip hopMkoa wa ManyaraKibu DenisMwanzo (Biblia)Clatous ChamaMatumizi ya LughaViganoHistoria ya KanisaVirusi vya UKIMWIWanyakyusaMfumo katika sokaKitenzi kishirikishiJohn MagufuliHafidh AmeirKupatwa kwa JuaViwakilishi vya kuulizaPunyetoMbuyuWilliam RutoTamathali za semiMadhara ya kuvuta sigaraUjuziWagogoWikipediaSaratani ya mlango wa kizaziJinsiaWabunge wa kuteuliwaVihisishiUrusiTenziOrodha ya makabila ya TanzaniaNyegeUmoja wa KisovyetiUajemiKinjikitile NgwaleUfupishoDhamiraMaambukizi nyemelezi🡆 More