Muziki Wa Hip Hop

Muziki wa hip hop ni aina ya muziki ulioanza kunako miaka ya 1970, ukiwa umeanzishwa na Wamarekani weusi katika miji mikubwa ya Marekani.

Muziki Wa Hip Hop
Lil Wayne.

Hip hop mara nyingi inatumia staili moja ya kuimba iitwayo kurap au kufokafoka na ambayo mwimbaji anatoa au anaimba maneno-mashairi yaambatanayo na vina. Mashairi mengi yaliyoimbwa katika muziki wa hip hop yalikuwa yakizungumzia maisha halisi ya Watu weusi wa nchini Marekani, sanasana katika miji mikubwa.

Kuna baadhi ya mashairi ya muziki wa hip hop yanayozungumzia wahuni, uhalifu, na utumiaji haramu wa madawa ya kulevya.

Muziki wa hip hop pia huchukua tabia (mwenendo) wa staili za muziki wa pop, yaani kama disko na reggae.

Soma zaidi

  • David Toop (1984/1991). Rap Attack II: African Rap To Global Hip Hop. New York. New York: Serpent's Tail. ISBN 1-85242-243-2.
  • McLeod, Kembrew. Interview with Chuck D and Hank Shocklee. 2002. Stay Free Magazine.
  • Yes Yes Y'All: Oral History of Hip Hop's First Decade. Fricke, Jim and Charlie Ahearn (eds). Experience Music Project. Perseus Books Group. ISBN 0-306-81184-7
  • Corvino, Daniel and Livernoche, Shawn (2000). A Brief History of Rhyme and Bass: Growing Up With Hip Hop. Tinicum, PA: Xlibris Corporation/The Lightning Source, Inc. ISBN 1-4010-2851-9
  • Chang, Jeff. "Can't Stop, Won't Stop".
  • Rose, Tricia (1994). "Black Noise". Middletown, Connecticut: Wesleyan University Press. ISBN 0-8195-6275-0
  • Potter, Russell (1995) Spectacular Vernaculars: Hip-Hop and the Politics of Postmodernism. Albany: SUNY Press. ISBN 0-7914-2626-2
  • Light, Alan (ed). (1999). The VIBE History of Hip-Hop. New York: Three Rivers Press. ISBN 0-609-80503-7
  • George, Nelson (2000, rev. 2005). Hip-Hop America. New York: Penguin Books. ISBN 0-14-028022-7
  • Fricke, Jim and Ahearn, Charlie (eds). (2002). Yes Yes Y'All: The Experience Music Project Oral History of Hip Hop's First Decade. New York: Da Capo Press. ISBN 0-306-81184-7
  • Kitwana, Bakar (2004). The State of Hip-Hop Generation: how hip-hop's culture movement is evolving into political power. Retrieved 4 Desemba 2006. From Ohio Link Database.

Tazama pia

Viungo vya nje

Muziki Wa Hip Hop  Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Muziki wa hip hop kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

MarekaniMiaka ya 1970MjiMuzikiWamarekani weusi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Madawa ya kulevyaUtafitiMkoa wa KageraDamuHuzuniDhima ya fasihi katika maishaMtakatifu PauloFacebookIdhaa ya Kiswahili ya Radio TehranWahaHistoriaMeta PlatformsTabianchiSteve MweusiUkomeshaji wa Biashara ya WatumwaUhuru wa TanganyikaBurundiUkimwiMfumo wa nevaKonsonantiMichezo ya watotoMuhammadMkoa wa SimiyuMwenge wa UhuruUtandawaziKisimaEe Mungu Nguvu YetuHafidh AmeirShairiNamba tasaJogooUaArudhiLimauUbuddhaTashihisiMbuniMbuyuBendera ya TanzaniaMapambano ya uhuru TanganyikaWamasoniAgano JipyaUmoja wa KisovyetiFalsafaJoyce Lazaro NdalichakoUandishi wa barua ya simuUenezi wa KiswahiliMazoezi ya mwiliHekimaKisononoVita ya Maji MajiNgw'anamalundiBongo FlavaJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoLugha za KibantuNomino za wingiKibu DenisMavaziManispaaMbeya (mji)UzalendoMsamiatiUjuziMkoa wa Dar es SalaamKisaweTanganyikaUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiEdward Ngoyai LowassaMuzikiItifakiPentekosteMichezo ya jukwaaniInjili ya MathayoMtotoMjasiriamaliUzazi wa mpango🡆 More