Isaac Bashevis Singer

Isaac Bashevis Singer (14 Julai 1902 – 24 Julai 1991) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Poland ambapo alizaliwa na jina Yitskhek Bashyevis Zinger .

Mwaka wa 1935 alihamia Marekani. Hasa aliandika riwaya na insha kuhusu maisha ya Wayahudi katika karne ya 20. Aliziandika katika lugha ya Kiyiddish. Mwaka wa 1978 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Isaac Bashevis Singer
Isaac Bashevis Singer
Amekufa 24 Julai 1991
Florida, Marekani
Nchi Marekani
Kazi yake Mwandishi
Dini Myahudi
Isaac Bashevis Singer
Isaac Bashevis Singer Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Isaac Bashevis Singer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Isaac Bashevis Singer Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Isaac Bashevis Singer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

14 Julai1902199124 JulaiKiyiddishMarekaniPolandRiwayaTuzo ya NobelWayahudi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Nomino za pekeeMapinduzi ya ZanzibarLugha ya isharaHoma ya matumboZodiakiJohn MagufuliHistoria ya ZanzibarVielezi vya wakatiMshororoKiimboBawasiriJipuIstanbulTarafaKumaBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiSexMichael JacksonMitume wa YesuElibariki Emmanuel KinguTarakilishiMaadiliLugha ya taifaAzimio la Kimataifa juu ya Haki za BinadamuDayolojiaMsongolaUyakinifuRisalaKarafuuMkoa wa ShinyangaMaambukizi nyemeleziMlongeDaktariZuliaMkoa wa KageraUjamaaKiongoziRushwaWilaya ya NyamaganaWanyamaporiFacebookWaheheMsalaba wa YesuMsumbijiOrodha ya makabila ya TanzaniaUainishaji wa kisayansiKiunguliaMatumizi ya LughaShinikizo la juu la damuThamaniUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaKilimanjaro (volkeno)Mlo kamiliZiwa ViktoriaAfrika KusiniTreniLa LigaRedioHektariNgoma (muziki)DhahabuPasakaOrodha ya volkeno nchini TanzaniaHaki za wanyamaHekimaTabianchiKassim MajaliwaOrodha ya viongoziMnyamaMisimu (lugha)SensaNigeriaNgono zembe🡆 More