Argentina

Argentina ni nchi kubwa ya pili ya Amerika Kusini.

Ina eneo la km² 2,780,400 kati ya milima ya Andes upande wa magharibi na Bahari ya Atlantiki upande wa mashariki.

Argentina
Argentina
Ramani ya Argentina
Argentina
Salta

Imepakana na Paraguay, Bolivia, Brazil, Uruguay na Chile.

Kuna madai dhidi ya Uingereza juu ya visiwa vya Falkland (Malvina), Visiwa vya South Georgia na South Sandwich na sehemu ya Antaktika.

Watu

Argentina 
Papa Fransisko, Papa wa kwanza kutoka Amerika, alitokea Argentina.

Wakazi wengi (97%) wana asili ya Ulaya na Mashariki ya Kati, hasa Italia (55%) na Hispania.

Lugha yao ya kawaida ni Kihispania na dini rasmi ni Ukristo wa Kanisa Katoliki (76.5%). Asilimia 9 ni Waprotestanti.

Miji

Miji mikubwa zaidi ni:

Tazama pia

Marejeo

Viungo vya nje

Argentina 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:
Nchi na maeneo ya Amerika Kusini

Argentina | Bolivia | Brazil | Chile | Ekuador | Guyana | Guyani ya Kifaransa | Kolombia | Paraguay | Peru | Surinam | Uruguay | Venezuela

Argentina  Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Argentina kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Argentina WatuArgentina MijiArgentina Tazama piaArgentina MarejeoArgentina Viungo vya njeArgentinaAmerika KusiniAndesBahari ya AtlantikiKm²MagharibiMasharikiMilima

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Waamuzi (Biblia)TovutiKilimanjaro (volkeno)Kamusi ya Kiswahili sanifuTafsiriJiniMkoa wa RukwaMkoa wa SingidaAzimio la kaziKishazi huruPaka-kayaMavaziWema SepetuDubai (mji)Orodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuMbogaArudhiVenance Salvatory MabeyoSteve MweusiRiwayaNgeliVielezi vya mahaliMzabibuHerufiRufiji (mto)MtaalaBumbuliWarakaUtataUNICEFMazungumzoJokate MwegeloBiasharaKiambishi tamatiUtaniNominoKitomeoClatous ChamaSumbawanga (mji)SerikaliMajira ya mvuaMatumizi ya LughaVokaliWaarushaAyoub LakredMuda sanifu wa duniaNzigeBendera ya KenyaVasco da GamaMtandao wa kompyutaBruce LeeBikiraAlama ya uakifishajiKibodiJKT TanzaniaSamliSaidi NtibazonkizaKilimoMshororoAzimio la ArushaRisalaOrodha ya milima ya TanzaniaKiumbehaiJohn MagufuliMfumo wa upumuajiViwakilishi vya kuulizaUongoziSensaMfumo wa homoniStadi za lughaPijiniMapambano ya uhuru TanganyikaMbwana SamattaHistoria ya Wasangu🡆 More