Wiki Kiswahili

     

     

Kamusi Elezo ya Kiswahili

Karibu kwenye Wikipedia ya Kiswahili!

Wiki ni mradi wa kuandika kamusi elezo kamili na sahihi ya maandishi huru.

Kila mtu anaweza kuhariri makala yoyote, kutoa makosa ya lugha, kutohoa maneno na kuendeleza na kukuza makala, kwa kuandika kwa ufupi au kwa urefu. Tunakushauri ujiandikishe na kufungua akaunti. Angalia Wiki: Mwongozo ili ujifunze unavyoweza kuhariri au kusanifisha ukurasa. Usisite kushiriki; kwa sababu huu ni mradi wa ushirikiano, na hautaisha kamwe. Kamusi elezo itaimarika vizuri zaidi kila wakati. Angalia ukurasa wa jumuia, ukurasa wa jamii, na ule wa makala za msingi za kamusi elezo ili kung'amua unaweza kufanya kazi zipi ili kuboresha Wiki Kiswahili.

Je, wajua...

Kutoka kwenye mkusanyiko wa makala za Wikipedia:

Ngorongoro

  • ... kwamba Hifadhi ya Ngorongoro imepokewa katika orodha ya urithi wa dunia ya UNESCO?
  • ... kwamba Asha-Rose Mtengeti Migiro ni mwanasiasa wa kwanza kutoka nchini Tanzania aliyepata kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa?
  • ... kwamba Septemba 1752 ilikosa siku kumi na moja? Katika Dola la Uingereza, ulikuwa mwaka pekee wenye siku 355, kwani Septemba 3-13 zilirukwa wakati Dola lilipopitisha kalenda ya Gregori.
  • ... kwamba Samia Hassan Suluhu ni rais wa kwanza mwanamke Afrika ya Mashariki? Aliapishwa kuwa rais mara baada ya kifo cha mtangulizi wake, John Pombe Magufuli.


  • Makala ya wiki

    Virusi (rotavirus)

    Virusi (kutoka Kilatini virus, yaani "sumu“) ni chembe ndogo sana iliyoundwa na maada jenetiki, kama ADN au ARN, katika koti la proteini. Vinaweza kusababisha magonjwa.

    Wiki Kiswahili

         

    Unashauriwa:

    • kunawa mikono mara kwa mara angalau sekunde 20 kwa maji na sabuni. Ukiwa nayo, tumia dawa yenye alikoholi (si chini ya asilimia 60) kusafisha mikono.
    • usiguse macho, pua na midomo kwa mikono kama hujanawa
    • epuka kuwa karibu sana na wagonjwa
    • wakati ugonjwa unazuru katika nchi ulipo, epuka kusalimu wengine kwa kushikana mikono
    • kaa nyumbani ukiwa mgonjwa (ugonjwa wowote - maana kinga yako ni dhaifu katika hali hii)
    • tembea na karatasi za shashi (kama huna, hata karatasi ya chooni / toilet paper) na uitumie ukikohoa au kupiga chafya, halafu uitupe mahali pa takataka
    • safisha mara kwa mara vitu unavyovigusa (vikiwa pamoja na kikombe, deski, simu yako); kama unayo, tumia dawa ya alikoholi (spirit – si konyagi!), lowesha karatasi nayo, futa, tupa ►Soma zaidi


    Picha nzuri ya wiki

    Mzee Kipala

    TANGAZO LA KIFO cha
    Ingo Koll au Kipala kilichotokea tarehe 10, Julai, 2023 nchini Ujerumani. Kipala alikuwa mchangiaji mashuhuri wa Wikipedia kuanzia Disemba 2005 hadi Juni 28, 2023. Siku kumi na mbili mbele tangu kuhariri Wikipedia yetu kwa mara ya mwisho, Mola Jalali Muumba wa mbingu na ardhi, alitwaa kiumbe chake. Kipala atakumbukwa kwa mchango wake mkubwa wa kuhariri Wikipedia hii. Kwanza akiwa kama msimamizi (admin) baadaye mrasimu (bureaucrat) ambaye ametoa haki za usimamizi kwa wakabidhi ama wasimamizi wengine kama Muddyb, Antoni na wengine wengi tu. Miaka kumi na nane ya kusimamia na kutunga makala mbalimbali itakumbukwa hadi mwisho wa dunia ya Wiki Kiswahili. Kipala amechangia makala za aina mbalimbali ikiwemo, muziki, filamu, tiba, elimu ya nyota, dini, siasa, demografia, jiografia, sayansi, na mengine mengi. Amepata kuwa msaada mkubwa kwa wachangiaji wapya kutoka sehemu mbalimbali za dunia. Alianzisha Jenga Wikipedia ya Kiswahili kwa lengo la kuboresha makala mbalimbali na kutoa mafunzo kwa watu wapya. Pengo lake halitazibika. Sisi wanajumuia ya Wikipedia ya Kiswahili tunasikitika kutangaza kifo chake!

    Takwimu ya Wikipedia ya Kiswahili

    • Idadi ya makala: 79,859
    • Idadi ya kurasa zote: 172,764 (pamoja na kurasa za watumiaji, majadiliano, msaada n.k.)
    • Idadi ya hariri: 1,326,201
    • Idadi ya watumiaji waliojiandikisha: 66,527
    • Idadi ya wakabidhi: 17
    • Idadi ya watumiaji hai: 128 (Watumiaji waliojiandikisha na kuchangia katika muda wa siku 30 zilizopita)
      Katika mwezi wa Agosti 2020 wikipedia ya Kiswahili iliangaliwa mara milioni 1.73 hivi, ambayo ni sawa na mara 55,800 kwa siku au mara 2,326 kila saa. Asilimia 52 za wasomaji wetu wako Tanzania, asilimia 13 wako Kenya, asilimia 18 wako Marekani na mnamo asilimia 10 wako Ulaya.
      Angalia idadi ya wasomaji kwa makala mbalimbali
      (fungua anwani kwa browser yako, ondoa majina yaliyopo na ingiza jina la makala (hadi makala 10) unayopenda. Unaweza kubadilisha kipindi cha taarifa utakachoona; takwimu kabla ya 2015 hapa)
    • na makala 100 zilizotazamiwa zaidi "Topviews" kwa kipindi fulani.
      (unachagua kati ya makala 100 kwa mwezi au kwa siku)

    Michango ya wanawiki: angalia hapa michango ya mtumiaji kwenye kila mradi wa Wiki (andika jina la mtumiaji kwenye sanduku)

    Jumuia za Wiki

    Mwanzo Commons
    Ghala ya Nyaraka za Picha na Sauti
    Mwanzo Meta-Wiki
    Uratibu wa Miradi yote ya Wiki
    Mwanzo
    Wikamusi
    Kamusi na Tesauri
    Mwanzo
    Wikitabu
    Vitabu vya bure na Miongozo ya Kufundishia
    Mwanzo
    Wikidondoo
    Mkusanyiko wa Nukuu Huria
    Mwanzo
    Wikichanzo (Wikisource)
    Matini za vyanzo asilia kwa Kiswahili
    Mwanzo Wikispishi
    Kamusi ya Spishi
    Mwanzo
    Wikichuo
    Jumuia ya elimu
    Mwanzo
    Wikihabari
    Habari Huru na Bure
    Lugha

    🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

    Lahaja za KiswahiliMnazi (mti)UongoziKiunzi cha mifupaMwenge wa UhuruMaajabu ya duniaSakramentiMeliKonsonantiMadhehebuMuhammadMeridianiMaji kujaa na kupwaUgonjwa wa ParkinsonAsiliMtakatifu PauloMkojoNgome ya YesuMtiHarmonizeNetiboliUngujaJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoHadhiraNdoa katika UislamuRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaWachaggaMshororoMkataba wa Helgoland-ZanzibarLionel MessiP. FunkFutiMapambano kati ya Israeli na PalestinaMsamiatiBarabaraJamhuri ya Watu wa ZanzibarSteven KanumbaJotoHisiaElimuOrodha ya visiwa vya TanzaniaWajitaMajiMfumo wa vyama vingiAbedi Amani KarumeKata za Mkoa wa Dar es SalaamUbatizoSemantikiVasco da GamaMtotoMkwawaJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaMbaraka MwinsheheLingua frankaBaraErling Braut HålandBarua rasmiNgiriMaskiniMoyoSamia Suluhu HassanOrodha ya Marais wa MarekaniTaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya TanzaniaInsha ya wasifuEmmanuel John NchimbiKihusishiViwakilishi vya kuulizaNembo ya TanzaniaTabiaOrodha ya viongoziNomino za wingiMishipa ya damuViwakilishi vya sifaJokate Mwegelo🡆 More