Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Kwa matumizi tofauti ya jina hili angalia Pasaka, pia Pasaka ya Kiyahudi na Kipindi cha Pasaka Pasaka ya Kikristo ni sikukuu ambayo Wakristo karibu wote... |
Pasaka ni sikukuu muhimu katika dini za Uyahudi na Ukristo. Jina la Pasaka limetokana na neno la Kiebrania "פסח" (tamka: pasakh). Pasaka ya Kiyahudi ni... |
Misri. Pasaka ya Kiyahudi imekuwa na athira kubwa juu ya sherehe ya Pasaka ya Kikristo kuhusu tarehe, liturujia na desturi mbalimbali. Jina la Pasaka limetokana... |
Pentekoste (Kusanyiko Historia ya Ukristo) Pentekoste ni sikukuu ya dini za Uyahudi na Ukristo ambayo huadhimishwa wiki 7 za siku 7 baada ya Pasaka, hivyo siku ya 50 baada yake. Jina hili lilianza kutumika... |
(Jumapili ya Pasaka), ndiyo kiini cha imani ya dini hiyo mpya iliyotokana na ile ya Uyahudi. Kwa Wakristo fumbo hilo la Pasaka ndilo kilele cha historia ya wokovu... |
Kifo cha Yesu (Kusanyiko Historia ya Israeli) siku ya Ijumaa, labda tarehe 7 Aprili 30 BK. Tukio hilo, pamoja na ufufuko wa Yesu unaosadikiwa na Ukristo kutokea siku ya tatu (Jumapili ya Pasaka), ndiyo... |
kinachoandaa Pasaka kadiri ya kalenda ya liturujia ya madhehebu mengi ya Ukristo. Kwa kawaida inaanza kwenye Jumatano ya Majivu (siku 46 kabla ya Pasaka) na kwisha... |
Papa Sixtus I (Kusanyiko Waliozaliwa karne ya 1) kuhusu suala la adhimisho la Pasaka ya Kikristo lililoanza kujitokeza. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini na kutajwa katika Kanuni ya Kirumi.... |
Kupashwa habari (elekezo toka kwa Kupashwa habari ya Kuzaliwa Bwana) Ijumaa Kuu. Kama ni Pasaka wanasherehekea pamoja huo Umwilisho na Ufufuko wa Yesu. Kwao ni mojawapo ya Sherehe kuu. Kumbe Kanisa la Roma linaruhusu kuisogeza... |
Ufufuko wa Yesu (Kusanyiko Miujiza ya Yesu) kwenye Pasaka ya Kikristo na kila wiki kwenye Dominika. Kwa Wakristo, ufufuko wa Yesu ndiyo sababu na kielelezo cha ufufuko wa waadilifu wote siku ya kiyama... |
Sakramenti (fungu Jina) Kwa njia yake Yesu anaingia katika maisha ya binadamu ili kuwaunganisha naye hasa katika fumbo la Pasaka (yaani kifo na ufufuko wake). Idadi hiyo ilithibitishwa... |
True Jesus Church (elekezo toka kwa Kweli Kanisa la Yesu) Krismasi na Pasaka kwa sababu wanaamini zina asili za kipagani na ni mifano ya imani ya Kikristo ya asili kuingiliwa na uzushi. Wanaangalia desturi ya kuosha... |
Kitabu cha Esta (Kusanyiko Vitabu vya Agano la Kale) la Kale, ambalo ni sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo. Kiliandikwa kwanza kwa Kiebrania. Tafsiri ya kitabu cha Esta inavyopatikana katika Septuaginta... |
Mtume Filipo (Kusanyiko Waliozaliwa karne ya 1) ambao walifika Yerusalemu kwa ajili ya Pasaka wakataka kumfahamu (Yoh 12:20-22). Hatimaye, katika karamu ya mwisho ya Yesu na mitume wake alimuomba awaonyeshe... |
waamini wengi, hasa Ulaya, wameacha kwenda kanisani isipokuwa siku ya Krismasi na Pasaka au kwenye harusi na misiba. Pia kutokana na mgawanyiko wa madhehebu... |
anayesadikiwa kuwa chemchemi ya ukombozi wa wanadamu wote pale alipolifia Kanisa na kuliachia sakramenti kuu ya Pasaka (ekaristi takatifu). Kanisa ni... |
dini aliyojiunga nayo kwa kubatizwa na padri wa Kanisa Katoliki kwenye Pasaka ya mwaka 1676, akaendelea nayo bila kujali vitisho na upinzani wa ndugu zake... |
Kipaimara (fungu Neema ya kipaimara) 19:5-6). Sakramenti hizo ni kama pande mbili za pesa moja. Zinahusiana kama Pasaka na Pentekoste, ambayo ni utimilifu wake, kwa kuwa siku alipofufuka Yesu... |
Yosefu (mume wa Maria) (Kusanyiko Waliozaliwa karne ya 1 KK) alikua vizuri chini ya wazee wake. Yesu alipokuwa na umri wa miaka kumi na miwili, wote watatu walikwenda kuhiji Yerusalemu kwa Pasaka. Wakati wa kurudi... |
yasiyoonekana katika maisha ya kila mmoja. Hivyo ni lazima Pasaka iadhimishwe kila wakati wa mwaka, “si kama jambo la zamani, bali kama tukio la leo”. Hata siku hizi... |