Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Kuna ukurasa unaoitwa "Mtangazaji" kwenye Wiki Kiswahili. Angalia pia matokeo mengine ya utafutaji yaliyopatikana.
Mtangazaji ni mtu anayeeneza au kutangaza habari za kitu, kwa mfano: biashara. Siku hizi anatumia hasa vyombo vya habari kama vile runinga .. Millard Ayo... |
Caroline Mutoko ni mtangazaji wa redio wa kituo cha redio cha Kiss FM. Yeye hupeperusha kipindi cha asubuhi "The Big Breakfast". alikuwa akikisimulia kipindi... |
alikuwa mtangazaji wa televisheni wa habari za michezo wa nchini Marekani . Sargent alihitimu Chuo Kikuu cha Florida na kuanza kazi kama mtangazaji wa televisheni... |
Edinburgh, Uingereza) ni mtangazaji wa habari wa kutoka Uingereza na aliwahi kuwa mwandishi wa habari za michezo. Yeye alikuwa mtangazaji mmoja kati ya wanne... |
Trevor Noah (amezaliwa tarehe 20 Februari 1984) ni mchekeshaji na mtangazaji wa radio na televisheni kutoka Afrika ya Kusini, maarufu sana kwa utangazaji... |
Salim Kikeke ni Mtanzania mwandishi wa habari na mtangazaji wa televisheni anayefanya kazi kwa sasa katika shirika la habari la BBC. Anasimamia kipindi... |
Kabla ya kumaliza masomo yake Amina alikuWa mtangazaji wa redio iitwayo Clouds FM, katika kipindi akiwa mtangazaji aliweza kuvuma sana kutokana na sauti yake... |
Oscar Hijuelos, mwandishi kutoka Marekani 20 Oktoba - Julius Nyaisangah, mtangazaji wa redio kutoka Tanzania 24 Oktoba - Raymond Mwanyika, askofu Mkatoliki... |
mtangazaji wa televisheni na redio. Jina lingine la Vanessa Mdee ni Vee Money. Vanessa Mdee anafahamika kwa kuwa mtanzania wa kwanza kuwa mtangazaji wa... |
zaidi kwa jina fupi kama Anko J; 1 Januari 1960 - 20 Oktoba 2013) alikuwa mtangazaji maarufu wa redio na televisheni kutoka nchini Tanzania. Awali alifanya... |
Luanda, Angola, 28 Septemba 1978) ni mwigizaji, mwandishi wa habari, mtangazaji wa redio, na mwanamitindo wa nchini Angola. Burity alihitimu na shahada... |
Huu ni Ungwana ni kipindi maarufu cha elimu, burudani, na ucheshi cha mtangazaji Leonard Mambo Mbotela katika redio ya Kenya Broadcasting Corporation nchini... |
Meena Ally (alizaliwa Tanzania, 13 Mei 1993) ni mtayarishaji na mtangazaji wa vipindi vya redio na televisheni , mwigizaji Alianza kujihusisha na kazi... |
Mbotela ni mtangazaji mashuhuri wa redio nchini Kenya. Amejulikana kwa huduma yake ya zaidi ya miaka 40 tangu mwaka 1964. Alikuwa mtangazaji wa habari... |
Anderson (alizaliwa 15 Novemba 1967) ni mwandishi wa habari Mwingereza, na mtangazaji wa CNN International kwenye kipindi cha "Connect the World with Becky... |
1979 - Rorya, Mara) ni mtangazaji maarufu kutoka nchini Tanzania. Hujulikana zaidi kwa jina la Baba Mzazi na pia kwa kuwa mtangazaji mkuu wa kipindi cha... |
Kristie Lu Stout (amezaliwa 7 Desemba 1974) ni mwandishi wa habari na mtangazaji kutoka Marekani anayefanya kazi CNN International. Stout alisoma katika... |
Rais Samia Suluhu Hassan tarehe 1 Februari 2022. Kabla ya hapo alikuwa mtangazaji wa BBC, idhaa ya Kiswahili, ambaye amekuwa mwanamke wa kwanza kutangaza... |
(amezaliwa 10 Februari 1990) ni mwimbaji, mwigizaji, rapa, mwanamitindo, mtangazaji wa televisheni, DJ, na mratibu kutoka nchini Korea ya Kusini. Mwanachama... |
Femi Oke (alizaliwa 1966) ni mtangazaji na mwandishi wa habari wa televisheni wa Uingereza. Femi alizaliwa nchini Uingereza na wazazi wenye asili ya Nigeria... |