Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Msumbiji (kwa Kireno: Moçambique) ni nchi ya Afrika ya Kusini-Mashariki. Msumbiji iko ufukoni mwa Bahari Hindi ikipakana na Tanzania, Malawi, Zambia,... |
Kisiwa cha Msumbiji (kwa lugha ya Kireno: "Ilha de Moçambique") ni kisiwa kidogo (na pia mji) kilichopo km 3 mbele ya mwambao wa Msumbiji ya kaskazini... |
Pemba ni mji mkuu wa Wilaya ya Pemba-Metuge nchini Msumbiji. Idadi ya wakazi wake ni takriban 141,316. Orodha ya miji ya Msumbiji... |
Msumbiji imegawanyika katika mikoa 11: Mkoa wa Cabo Delgado Mkoa wa Gaza Mkoa wa Inhambane Mkoa wa Manica Mkoa wa Maputo Mjini Mkoa wa Maputo Mkoa wa Nampula... |
mkoa wa Sofala nchini Msumbiji. Idadi ya wakazi wake ni takriban 530.706. Orodha ya miji ya Msumbiji Wiki Commons ina media kuhusu: Beira (Msumbiji)... |
wa Maputo nchini Msumbiji. Idadi ya wakazi wake ni takriban 543,907. Orodha ya miji ya Msumbiji Wiki Commons ina media kuhusu: Matola (Msumbiji)... |
mkoa wa Sofala nchini Msumbiji. Idadi ya wakazi wake ni takriban 78.648. Orodha ya miji ya Msumbiji Wiki Commons ina media kuhusu: Dondo (Msumbiji)... |
Palma ni mji mkuu wa Wilaya ya Palma nchini Msumbiji. Orodha ya miji ya Msumbiji... |
Ruvuma (mto) (Kusanyiko Mito ya Msumbiji) Ruvuma (pia: Rovuma) ni mto mrefu wa Tanzania na Msumbiji. Mpaka kati ya Tanzania na Msumbiji unafuata mwendo wake kwa km 730. Chanzo chake kiko mashariki... |
Utalii nchini Msumbiji unategemea mazingira asilia ya nchi, wanyamapori, na urithi wa kitamaduni, ambayo hutoa fursa kwa ufuo, kitamaduni na utalii wa... |
Kitonga (pia Kiinhambane) ni lugha ya Kibantu nchini Msumbiji inayozungumzwa na Watonga. Isichanganywe na lugha nyingine ziitwazo Kitonga nchini Malawi... |
Wamakwe (Kusanyiko Makabila ya Msumbiji) Wamakwe (pia huitwa Wamaraba) ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Mtwara. Kwa wingi zaidi wako Msumbiji. Lugha yao ni Kimakwe.... |
Wamakonde (Kusanyiko Makabila ya Msumbiji) hili angalia Makonde Wamakonde ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Mtwara. Pia wako Msumbiji. Lugha yao ni Kimakonde. Makonde (maana)... |
Wamaviha (Kusanyiko Makabila ya Msumbiji) Wamaviha ni kabila la watu wanaoishi mpakani kati ya Tanzania na Msumbiji. Lugha yao ni kati ya lugha za Kibantu na inaitwa Kimaviha. Hata hivyo wengi... |
Vyakula vya Msumbiji vimeathiriwa sana na Wareno, ambao walianzisha mazao mapya, vionjo, na mbinu za kupika. Chakula kikuu cha watu wengi wa Msumbiji ni xima... |
Wamakua (Kusanyiko Makabila ya Msumbiji) huandikwa Wamakhuwa) ni kabila kubwa lenye milioni kadhaa za watu wanaoishi hasa nchini Msumbiji upande wa Kaskazini. Nchini Tanzania kuna Wamakua wanaoishi... |
Mto Lugenda (pia Lujenda au Msambiti) ni mto unaotiririka kaskazini mwa Msumbiji. Unaanza kwenye Ziwa Amaramba/Ziwa Chiuta na kuishia katika Mto Ruvuma... |
ya Jamhuri ya Watu wa Zanzibar katika Tanzania Pemba (Tarime) ni kata ya wilaya ya Tarime katka Mkoa wa Mara, Tanzania Pemba (Msumbiji) (zamani: "Porto... |
Mto Msumbiji ni kati ya mito ya mkoa wa Pwani (Tanzania mashariki). Maji yake yanaelekea Bahari Hindi. Mito ya Tanzania Orodha ya mito ya mkoa wa Pwani... |
Mkoa wa Cabo Delgado (Kusanyiko Mbegu za jiografia ya Msumbiji) nchini Msumbiji. Mji mkuu wake ni Pemba. na miji ya: Mocimboa da Praia Montepuez Pemba - covering 194 km² with 141,316 inhabitants. Mikoa ya Msumbiji (Kireno)... |