Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
sehemu kubwa ya mnururisho hatari hadi unapita kando ya Dunia na kutofika kwenye uso wa Dunia. Dunia yetu ni sayari pekee inayojulikana mpaka sasa ambapo... |
Ganda la dunia (pia: gamba la dunia; pia utando wa dunia) ni tabaka ya juu ya sayari yetu. Sehemu yake ya juu kabisa ni uso wa dunia. Ni sehemu ya tabakamwamba... |
kilomita nyingi juu ya uso wa dunia. Kadri jinsi kupasuka kunatokea kwenye kimo kikubwa au karibu zaidi na uso wa dunia uwezo wa uharibifu unaongezeka... |
moto lakini imara Kiini cha dunia ni joto sana, sayansi inakadiria sentigredi 6000 C°. Joto hili linapungua hadi uso wa dunia tunapoishi. Nishati kutokana... |
katika eneo la Ukanda wa Van Allen ambako vinazunguka sayari yetu kwa umbali wa kilomita 700 au zaidi bila kupiga uso wa Dunia. Zvereva T.I. (2012). "Motion... |
Mwezi (elekezo toka kwa Mwezi wa Dunia) uso wake upande mmoja, tena uleule tu. Sababu yake ni ya kwamba mzunguko wa Mwezi kwenye mhimili wake ni sawa na kipindi cha obiti ya kuzunguka Dunia... |
Ncha ya kijiografia (elekezo toka kwa Ncha za dunia) kijiografia ni moja kati ya mahali pawili ambapo mhimili wa mzunguko wa dunia unakutana na uso wa dunia. Kwa maana hiyohiyo ncha zinapatikana pia kwenye sayari... |
Siku (fungu Muda wa siku) uso wa dunia, yaani bahari, mito, milima, binadamu, misitu, majangwa, majengo, barabara na kila kitu unachoweza kuwaza kuwa kipo kwenye uso wa dunia,... |
Ugawaji wetu wa saa za siku na usiku kiasili unafuata mwendo wa jua na nuru. Kuna mstari kuanzia kaskazini hadi kusini mwa dunia unaosogea juu ya uso wake ambako... |
kwenye uso wa ardhi kinaweza kuwa chini yake; maana uso wa Dunia haukai wima kwa Jua bali unainama kwa pembe fulani inayobadilika katika mwendo wa mwaka;... |
mhimili wa kuzunguka kwa dunia unagusa uso wa dunia. Mahali hapa papo kwa anwani ya kijiografia ya 90°S na 0°W takriban 2,800 m juu ya UB. Uso wa dunia umefunikwa... |
sehemu ya chini kabisa ya bahari au, kwa lugha nyigine, ni sehemu ya uso wa dunia iliyofunikwa na maji ya bahari. Kina cha maji juu ya sakafu ya bahari... |
Mlima ni sehemu ya uso wa dunia iliyoinuka sana juu ya mazingira yake. Mifano katika Afrika ni Mlima Kilimanjaro na Mlima Kenya. Kwa kawaida mlima huwa... |
kavu yaani sehemu ya dunia ambayo haijafunikwa na maji Udongo yaani sehemu ya juu kwenye uso wa nchi ambako mimea huweza kuota. Dunia yetu kwa jumla Ardhi... |
uzito unaweza kueleweka kirahisi pale unapopimwa karibu na dunia au kwenye uso wa dunia. Uzito kwa kawaida hupimwa kwa kutumia vizio vya tungamo kama... |
na mzunguko wa dunia kwenye mhimili wake. Mwendo huu ndio sababu ya kugawiwa kwa uso wa dunia katika kanda muda. Karibu na ikweta muda wa usiku ni masaa... |
mhimili wa kuzunguka kwa dunia unagusa uso wa dunia. Mahali hapa papo kwa anwani ya kijiografia ya 90°S na 0°W. Mtu anayesimama hapa anatazama upande wa kusini... |
Mmomonyoko (elekezo toka kwa Mmomonyoko wa ardhi) zinazofinyanga uso wa dunia. Uso wa mabonde na milima ya dunia ni matokeo ya mmomonyoko. Maji ni kati ya nguvu kuu za mmomonyoko. Mwendo wa maji unasukuma... |
ya usumaku wa Dunia baina ya ncha mbili za uga wake. Kwa njia hii ugasumaku wa Dunia unazuia sehemu kubwa ya chembe hizi kufika kwenye uso wa ardhi na hii... |
Tabianchi (fungu Ufafanuzi wa tabianchi) na tabia nyingine zinazoathiri hali ya hewa katika sehemu fulani ya uso wa dunia kwa muda mrefu. Tabianchi ni tofauti na halihewa ikitazama vipindi virefu... |