Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Chumvi kwa maana ya kemia ni kampaundi inayofanywa na ioni yaani anioni yenye chaji hasi na kationi yenye chaji chanya baada ya bezi kuunganika na asidi... |
{{tafsiri kompyuta}} . Kemia (labda jina limetokana na neno la Kiarabu al-kemia) ni sayansi ya mata kwa kiwango cha atomi. Kemia yahusu tabia ya elementi... |
Muungo kemia (kwa Kiingereza: chemical bond) ni kani inayoshikiza atomu, ioni na molekuli na hivyo kuwa msingi wa kutokea kwa kampaundi. Kani hiyo inaweza... |
Sabuni (Kusanyiko Mbegu za kemia) katika mwili wa binadamu au kitu chochote. Inatumika kwa ajili ya kusafishia na kuogea, na matumizi mengine mengi. Katika kemia ni chumvi ya asidi mafuta.... |
Munyu (elekezo toka kwa Chumvi ya mezani) Munyu au chumvi ya kawaida (wakati mwingine pia chumvi ya mezani; kwa Kiing. table salt) ni madini yanayotumik kama kiungo cha chakula. Munyu ni mojawapo... |
(H+) kutoka kwa dutu nyingine inayoitwa asidi. Tokeo la mmenyuko huo ni chumvi pamoja na maji. Katika myeyusho wa maji besi hufanya ioni za hidroksidi... |
Maji matamu (Kusanyiko Mbegu za kemia) Maji matamu ni maji yasiyo na chumvi nyingi ndani yake. Kwa kawaida maji ya mvua, ya mtoni au ziwani huitwa "maji matamu" maana yake ya kwamba kimsingi... |
Halogeni (Kusanyiko Kemia) Halogeni (Kigiriki hals, “chumvi”; genes, “kuzaliwa”), katika kemia, ni simetali za kundi la 17 katika mfumo wa IUPAC (kabla zilifahamika kuwa katika... |
maji yenye chumvi nyingi sana ziko ndani ya asidi kali au besi kali Kwa hiyo zimepatikana ndani ya chemchemi ya maji moto na maziwa ya chumvi au magadi... |
Natiri (Kusanyiko Kemia) Alama yake ni Na. Jina latokana na chumvi asilia ya natroni alimotambuliwa. Natiri inapatikana duniani ndani ya chumvi cha kawaida cha NaCl (kloridi ya... |
Kemikali (Kusanyiko Mbegu za kemia) mchanganyiko wa dutu kama asidi hidrokloridi ambayo ni mmumunyo wa HCl na maji. Kemikali zinazopatikana nyumbani hujumuisha maji, chumvi na klorini (buluu).... |
Fuwele (Kusanyiko Kemia) zake zimepangwa kwa mpangilio maalumu unaorudia na kuendelea pande zote. Chumvi hupatikana kama fuwele. Theluji ni maji katika umbo fuwele. Dutu isiyopangwa... |
Klorini (Kusanyiko Kemia) Inapatikana kwa wingi katika maji ya bahari kama sehemu ya chumvi ya kawaida NaCl na pia ndani ya chumvi ya KCl. Matumizi yake ni kusafisha maji au kung'arisha... |
Ukenekaji (Kusanyiko Kemia) viwango vya kuchemka tofauti. Mchakato wa ukenekaji hutumiwa sana katika kemia ingawa si kazi ya kikemia bali ya kifizikia. Mchanganyiko hutiwa moto hadi... |
Kabonati (Kusanyiko Mbegu za kemia) CO32-. Ioni hiyo inafanywa na kaboni na oksijeni. Kabonati hutokea kama chumvi na esta za asidi kabonia (H2CO3 carbonic acid). Kabonati zinapatikana kote... |
Chaki (Kusanyiko Mbegu za kemia) ni aina ya changarawe ambayo inatokana na madini ya calcite. Calcite ni chumvi ya ioniki ambayo imetokana na calcium carbonate (CaCO3) ambayo inakotoka... |
Asidi (Kusanyiko Kemia) (H+) kwa kampaundi nyingine inayoitwa besi na tokeo la mmenyuko huo kuwa chumvi pamoja na maji. Asidi iliyotumiwa na watu tangu karne nyingi ni siki; asidi... |
Iodini (Kusanyiko Kemia) yake ni katika madawa (hasa antiseptika), viungo vya chakula, rangi na kemia za kusafisha picha. Iodini katika maji ni dawa antiseptika inayozuia maambukizo... |
Shura (Kusanyiko Kemia) Shura (kwa Kiingereza: saltpeter) ni kundi la chumvi za nitrati zinazotokea kiasili. Kikemia ni nitrati zifuatazo zilizoitwa shura au saltpeter: Nitrati... |
Titani (Kusanyiko Kemia) kwa mfano kwa eropleni au mashine zinazokusudiwa kwa kazi kwenye maji ya chumvi au baharini. Huchimbwa hasa Australia, Skandinavia, Amerika ya Kaskazini... |