Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
asingeweza kukubali likome tu. Vitabu vya Agano Jipya ni kama ifuatavyo (Kwa mabano: kifupi cha kawaida kwa kutaja kitabu hiki). Injili nne zinasimulia habari... |
Kitabu cha Yona ni kimojawapo kati ya vitabu vinavyounda Tanakh (yaani Biblia ya Kiebrania), kwa hiyo pia Agano la Kale, sehemu ya kwanza ya Biblia ya... |
Ufunuo wa Yohane (elekezo toka kwa Kitabu cha Ufunuo) siku ya Bwana, yaani Jumapili (Ufu 1:9-11) Ufunuo ni kitabu pekee cha kinabii katika Agano Jipya; kilikamilika mwaka 95 hivi B.K.; lengo lake ni kuwaimarisha... |
Kitabu cha Yeremia ni kimojawapo kati ya vitabu vya kinabii vilivyo virefu zaidi katika Tanakh (Biblia ya Kiebrania), na kwa hiyo pia katika Agano la Kale... |
Inawezekana kwamba kitabu hiki kilikuwa cha mwisho kuandikwa kati ya vitabu vya kinabii vya Biblia ya Kiebrania (ambamo Kitabu cha Danieli, kilichoandikwa... |
navyo vyote vimo katika Agano la Kale: Yoshua Bin Sira, Kitabu cha Hekima, Kitabu cha kwanza cha Wamakabayo, Kitabu cha pili cha Wamakabayo, Tobiti, Yudithi... |
Historia ya Wokovu (Kusanyiko Vitabu vya Agano Jipya) ). Katika Agano Jipya tuna vitabu 5 vya historia (yaani Injili 4 na Matendo ya Mitume), barua 21 za Mitume na kitabu kimoja tu cha kinabii (Ufunuo). Lugha... |
Kundi la mwisho la vitabu vya Agano Jipya linajulikana kwa jina la Yohane, kwa kuwa Injili ya nne, barua tatu na kitabu cha Ufunuo viliandikwa na mtume... |
na Yesu, malaika na watakatifu), lakini zaidi ya hiyo misheni yake ya kinabii, ambayo Kristo alimjalia Faustina kwa ajili ya kumtumia duniani. Ujumbe... |