Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Kuna ukurasa unaoitwa "Mlima" kwenye Wiki Kiswahili. Angalia pia matokeo mengine ya utafutaji yaliyopatikana.
Mlima ni sehemu ya uso wa dunia iliyoinuka sana juu ya mazingira yake. Mifano katika Afrika ni Mlima Kilimanjaro na Mlima Kenya. Kwa kawaida mlima huwa... |
Mlima Sinai (kwa Kiarabu: جبل موسى jabal Musa = mlima wa Musa) ni mlima wenye kimo cha mita 2,283 juu ya UB katika eneo la kusini la Rasi ya Sinai nchini... |
Mlima Kenya (Kikuyu: Kĩrĩnyaga; Kiembu: Kirenia; Kimaasai: Ol Donyo Keri; Kimeru: Kirimara) ndio mrefu zaidi nchini Kenya. Mlima huu una urefu wa mita... |
kipenyo cha kilomita nane. Elgon ni mlima wa pili kwa urefu nchini Kenya baada ya Mlima Kenya. Kwa upande wa Uganda ni mlima mrefu mashariki mwa nchi lakini... |
m 2960 ni mlima mkubwa wa Tanzania ya Kusini. Mlima unasimama juu ya ncha ya kaskazini ya Ziwa Nyasa. Upande wa kusini-mashariki wa mlima hupokea usimbishaji... |
27°59′17″N 86°55′31″E / 27.98806°N 86.92528°E / 27.98806; 86.92528 Mlima Everest ni mlima mkubwa kabisa duniani, wenye kimo cha m 8,848 juu ya usawa wa bahari... |
Mlima wa Meza (kwa Kiingereza: Table Mountain) ni mlima wenye sehemu ya tambarare juu na mtelemko mkali upande. Mlima wa Meza unaojulikana zaidi ni ule... |
hai na mlima mkubwa nchini Kamerun wenye kimo cha m 4095 juu ya UB. Majina mengine ni Fako (jina la kilele cha juu) au Mongo ma Ndemi ("Mlima Mkubwa")... |
Mlima Olimpos (kwa Kigiriki: Όλυμπος, Ólympos) ni safu ndogo ya milima yenye vilele 52. Kilele cha juu ni Mytikas kinachofikia mita 2,917.727 juu ya UB... |
Mlima Meru ni mlima wenye asili ya volkeno na urefu wa mita 4566 (futi 14980) juu ya usawa wa bahari. Mlima huo ni wa tano kwa urefu katika bara la Afrika... |
Kilimanjaro (volkeno) (elekezo toka kwa Mlima Kilimanjaro) Kilimanjaro ni jina la mlima mrefu kuliko yote barani Afrika. Mlima huo uko nchini Tanzania katika Mkoa wa Kilimanjaro. Una urefu wa mita 5,895 (futi 19... |
Mlima Kerimasi ni mlima wa volkeno nchini Tanzania. Mlima una kimo cha mita 2,538 juu ya usawa wa bahari. Orodha ya volkeno nchini Tanzania Orodha ya... |
Kiagta ya Mlima Iraya ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Waagta. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiagta ya Mlima Iraya imehesabiwa... |
Kiagta ya Mlima Iriga ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Waagta. Mwaka wa 1979 idadi ya wasemaji wa Kiagta ya Mlima Iriga imehesabiwa... |
Mlima Chilalo ni mlima wa volkeno wa silikoni uliotengwa kusini mashariki mwa Ethiopia. Sehemu ya juu kabisa katika eneo la Arsi la Mkoa wa Oromia, na... |
Mlima Roraima ni mlima wa Guyana na Venezuela, wenye kimo cha mita 2,739 juu ya usawa wa bahari. Orodha ya milima... |
Mlima St Helens ni mlima wa volikano katika jimbo la Washington (Marekani). Orodha ya milima Orodha ya milima ya Marekani... |
Mlima Halcón' ni mlima wenye kimo cha m 2,582 juu ya usawa wa bahari. Uko Ufilipino. Orodha ya milima... |
ni jina la mlima mkubwa ulioko upande wa kaskazini mashariki mwa Bumbuli, katika wilaya ya Lushoto, Mkoa wa Tanga nchini Tanzania. Mlima huo ni maarufu... |
Mlima Guna ni mlima wa volikano unaopatikana karibu na miji wa Nefas Mewcha na Debre Tabor kaskazini mwa ukanda wa Amhara, Ethiopia. Ni mlima mrefu zaidi... |