Minecraft

Minecraft ni mchezo wa video uliofanywa na Markus Notch Persson wa Sweden.

Minecraft
Mtengenezaji wa Minecraft Markus "Notch" Persson huko GDC 2011

Mwaka 2015, Notch alistaafu na kuuza kampuni yake, Mojang, kwa Microsoft kwa $ bilioni 2.5.

Huu ni mchezo wa kuvunja matofali. Mchezaji anaweza kuvunja matofali yaliyo kokote duniani, pia anaweza kurudisha matofali na kuyaboresha zaidi. Mchezaji anatakiwa kutumia vifaa maalum kama vile shoka.

Mchezo huu ulitolewa kwenye Xbox 360 kama mchezo wa Xbox Live Arcade mnamo Mei 9, 2012. Ilitolewa kwa PlayStation 3 tarehe 17 Desemba 2013, na PlayStation 4 tarehe 4 Septemba 2013.

Minecraft Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Minecraft kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

MchezoSwedenVideo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Historia ya TanzaniaMtotoMjasiriamaliTabiaUjimaMachweoSoko la watumwaNomino za dhahaniaRamaniOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaHistoria ya ZanzibarStafeliAfro-Shirazi PartyMmeng'enyoMfumo wa hali ya hewaMwakaJokofuMaji kujaa na kupwaYoung Africans S.C.Nomino za wingiMuda sanifu wa duniaMitindoUtohoziPanziKiini cha atomuMishipa ya damuVichekeshoWilaya za Tanzania 4WahayaMtume PetroTundu Antiphas Mughwai LissuNileAli KibaMkoa wa KageraVita ya Maji MajiUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiWanu Hafidh AmeirNuktambiliEstrojeniHerufiMkoa wa KilimanjaroUkristo nchini TanzaniaAfrika ya MasharikiWamasoniUnju bin UnuqUongoziTahajiaKitenzi kikuu kisaidiziMaudhuiMkoa wa MorogoroAslay Isihaka NassoroPichaMajigamboMapafuMaeneo ya Kihistoria ya Kitaifa ya TanzaniaMbogaHali ya hewaUtamaduniFani (fasihi)Mkoa wa Dar es SalaamHakiNomino za pekeeKiswahiliMshororoLigi Kuu Tanzania BaraViwakilishi vya urejeshiKata za Mkoa wa Dar es SalaamViunganishiMkoa wa ArushaMkoa wa KataviWangoniKisukari (ugonjwa)Kanisa Katoliki🡆 More