Wuhan

Wuhan (kwa Kichina: 武汉) ni mji wa China. Ndio mji mkuu wa jimbo la Hubei.

Jiji la Wuhan
Jiji la Wuhan is located in China
Jiji la Wuhan
Jiji la Wuhan

Mahali pa Wuhan katika China

Majiranukta: 29°58′20″N 113°53′29″E / 29.97222°N 113.89139°E / 29.97222; 113.89139
Nchi China
Jimbo Hubei
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 9,760,000 (2,007)
Tovuti:  http://www.wuhan.gov.cn/
Wuhan
Wuhan
Wuhan
Mahali pa Wuhan katika mkoa wa Hubei

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, kuna wakazi wapatao milioni 9.8 wanaoishi katika mji huu. Hivyo si mji mkubwa zaidi katika Hubei pekee, bali ni jiji kubwa zaidi katika China ya Kati.

Ni mji wenye tasnia nyingi, kuanzia makampuni yanayozalisha motokaa hadi makampuni ya teknolojia mpya kama kompyuta, pamoja na taasisi za utafiti wa kisayansi zaidi ya 300 .

Mwaka 2020 jina la Wuhan lilitajwa kote duniani kutokana na uenezi wa virusi hatari vya corona ambao ulisababisha vifo vya watu zaidi ya elfu moja pamoja na hofu ya epidemiki. Jiji lote liliwekwa na serikali kuu katika hali ya karantini. Kabla ya tangazo hilo watu milioni 5 waliondoka mjini.

Tazama pia

  • Chuo Kikuu cha Wuhan

Marejeo

Wuhan  Makala hii kuhusu maeneo ya China bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wuhan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

UNICEFAfrika KusiniMichezoJokate MwegeloNembo ya TanzaniaRuge MutahabaVivumishi vya pekeeJulius NyerereLugha ya taifaMgawanyo wa AfrikaHeshimaViwakilishi vya kuoneshaBaraWabena (Tanzania)UislamuLuhaga Joelson MpinaNafsiWamasaiOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaMmomonyokoMungu ibariki AfrikaMisimu (lugha)Uhuru wa TanganyikaSahara ya MagharibiShengChumaSheriaKiambishi tamatiIntanetiWanyama wa nyumbaniNdege (mnyama)Hadithi za Mtume MuhammadWamanyemaMwanamkeJakaya KikweteMaumivu ya kiunoKiongoziStephane Aziz KiBungeBob MarleyDhima ya fasihi katika maishaUyogaUkatili wa kijinsiaSimu za mikononiUlayaUbuddhaLigi Kuu Tanzania BaraSanaa za maoneshoMkutano wa Berlin wa 1885UongoziBendera ya KenyaJumuiya ya MadolaMapambano kati ya Israeli na PalestinaNyotaYouTubeUti wa mgongoNyanda za Juu za Kusini TanzaniaWasukumaMisaNgoma (muziki)Idara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)Orodha ya makabila ya TanzaniaUfilipinoYesuSiasaLigi ya Mabingwa AfrikaPijiniFamiliaKanisa KatolikiHistoria ya ZanzibarMkoa wa PwaniNyumbaEe Mungu Nguvu YetuGeorge Washington🡆 More