Wilaya Ya Mpanda

Wilaya ya Mpanda ilikuwa wilaya moja ya Mkoa wa Rukwa, Tanzania hadi mwaka 2012 yenye postikodi namba 50100.

Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 412,683 [1] Archived 20 Machi 2004 at the Wayback Machine..

Wilaya Ya Mpanda
Mahali pa Mpanda katika mkoa wa Rukwa kabla ya kuanzishwa mkoa mpya wa Katavi mwaka 2012.

Mwaka 2012 wilaya ikahamishwa kwenda mkoa mpya wa Katavi. Mwaka uleule maeneo yake yaligawiwa kati ya wilaya ya Mpanda Vijijini na wilaya ya Mpanda Mjini.


Marejeo

Wilaya Ya Mpanda  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Katavi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.

Tags:

Mkoa wa RukwaNambaPostikodiSensaTanzaniaWayback Machine

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Hafidh AmeirInjili ya YohaneAFC LeopardsKihusishiKaramaUwanja wa michezo wa Santiago BernabéuLatitudoNgiriIbadaHistoria ya UrusiOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaLigi ya Mabingwa AfrikaKanga (ndege)Hekaya za AbunuwasiOrodha ya visiwa vya TanzaniaMaudhuiPichaWilaya za Tanzania 4 KIGOMAManchester United F.C.Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaMethaliLiverpool F.C.DubuWamasaiMtume BartolomayoVivumishi vya idadiUislamuWagogoWachaggaJamhuri ya Watu wa ZanzibarMwai KibakiOrodha ya makabila ya TanzaniaUfahamuAlmasiYesuBiashara ya masafa marefu ya Afrika MasharikiOrodha ya maziwa ya TanzaniaMaskiniWamasoniAfrikaMizimuNywilaMkoa wa KataviKonyagiTamthiliaKata za Mkoa wa Dar es SalaamKimara (Ubungo)Mapenzi ya jinsia mojaDuniaUaSteven KanumbaAgano JipyaMkoa wa DodomaUhindiTanganyika African National UnionUzalendoEdward SokoineWimboHoma ya iniJipuUnyanyasaji wa kijinsiaTwigaMandhariMfumo wa JuaJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoPemba (kisiwa)KipindupinduMkoa wa TaboraSentensiAfyaMishipa ya damuKitenzi🡆 More