mwongozo

Wiki ni kamusi elezo katika intaneti inayojengwa na jumuiya ya washiriki nawe unaweza kuchangia.

Utangulizi   Kuhariri   Kuanzisha Makala   Muundo   Viungo vya Wiki   Kutaja vyanzo   Kurasa za majadiliano   Kumbuka   Kujisajili    

Mwongozo wa kuhariri Wikipedia – Utangulizi

Mwongozo huu utakusaidia kuwa mchangiaji wa Wiki Kiswahili.

Kurasa zifuatazo zitakupa mwongozo kuhusu mtindo na makala za Wikipedia zilivyo, na kukuelezea kuhusu jumuia ya Wikipedia na sera muhimu za Wikipedia na makubaliano.

Huu ni mwongozo wa kimsingi tu, na siyo maelekezo ya kirefu. Iwapo unataka maelezo zaidi, kuna viungo kuelekea kurasa nyingine kwa maelezo zaidi. Kuzisoma na kuzielewa, unaweza ukazifungua katika kivinjari tofauti au katika dirisha la tabo.

Kuna viungo kuelekea katika kurasa za "sanduku la mchanga" ambapo unaweza kujipatia uzoefu kile unachojifunza. Hebu jaribu vitu tofauti na uchezecheze! Hakuna mtu atakayechukizwa endapo utavuruga na jaribio katika maeneo ya vitendo.

Ilani: Mwongozo umetoa maelezo yanayofaa hasa kwa wale wanaotumia umbo la kurasa la MonoBook. Tangu Septemba 2010 umbo la kurasa kama inavyoonekana kwa watumizi wasioingia akaunti ni Vector. Mwongozo bado haujaandikwa upya. Wale walioingia akaunti zao wanaweza kubadilisha umbo la kurasa kwenye mapendekezo yao. Umbo nyingine zinaweka viungo mahali tofauti kwenye ukurasa, na kama ni hivyo maelezo ya kupata viungo hayataeleweka moja kwa moja.


Tags:

mwongozo Mwongozo wa kuhariri Wikipedia – Utangulizimwongozo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Orodha ya shule nchini TanzaniaHifadhi ya SerengetiNafakaKiburiDodoma (mji)Mkoa wa TaboraAfrika ya Mashariki ya KijerumaniVitenzi vishirikishi vikamilifuTaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya TanzaniaFamiliaMnyamaAunt EzekielNomino za pekeeIsimuKongoshoTetekuwangaDhamiraUgonjwa wa kuharaVivumishi ya kuulizaJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoMaigizoLugha ya taifaViunganishiHotubaEe Mungu Nguvu YetuMapambano kati ya Israeli na PalestinaDemokrasiaMwenge wa UhuruKibena (Tanzania)NdimuUgandaMafurikoSkeliUandishiUgonjwa wa ParkinsonMuundoMichoro ya KondoaWairaqwFonimuMwanamkeMuundo wa inshaMaana ya maishaOrodha ya mito nchini TanzaniaChuraMoyoEmmanuel John NchimbiJacob StephenOrodha ya viongoziMazingiraBibliaBata MzingaTabiaSheriaChuo Kikuu cha Dar es SalaamUpendoAli KibaSitiariBaraNdege (mnyama)Abedi Amani KarumeUnyanyasaji wa kijinsiaMagimbiFacebookMeliOrodha ya miji ya TanzaniaKinembe (anatomia)Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaNathariUhakikiDuniaDubai (mji)LakabuAlama ya barabaraniYesu🡆 More