jamii

English | Kiswahili | Francais | Deutsch (+/-)

Uhamasishaji/Utangazaji

Malengo:

  • Kutengeneza kamusi elezo kubwa ya Kiswahili itakayotumiwa na mtu yeyote bila gharama
  • Kutafuta matumizi ya kamusi elezo hii mashuleni na kwenye miradi mbalimbali ya kielimu; kutumia yaliyomo ndani ya kamusi elezo hii (ambayo inapatikana kwa lugha mbalimbali)kwa faida za wazungumzaji wa Kiswahili na wale wanaojifunza Kiswahili
  • Kushirikiana na wanafunzi wa vyuo vikuu na walimu wa lugha kuchangia na kuendeleza matumizi na mchango wa kazi hii

Kinachotakiwa:

Watu wenye nia ya kushiriki

  • Sultanseifu (Tanzania)
  • Ndesanjo
  • Sj (Boston)
  • Jeff (Toronto)
  • Mshairi (Uingereza)
  • Richard Mabala (Ethiopia/Tanzania)
  • Joseph Tungaraza(Oz)
  • Makene (Texas)
  • Stan
  • Herry Ibrahim (Tanzania) (Revolución) kutoka Florida
  • maitha (kenya)
  • Zablon Mgonja(Mtanzania) Chuo kikuu cha FISK marekani
  • Matt Crypto (UK)

Walimu na wanafunzi

Wanablogu wa Kiswahili na wataalamu wa teknolojia ya kompyuta

Mambo ya awali ya kuweka kwenye kamusi elezo

Orodha ndefu: makala fupi za msingi za maarifa duniani; tuanze na makala 1000.

    Makala zilizoko kwenye kamusi elezo za Kiingereza, Kifaransa, Kijerumani, n.k. zinaweza kusaidia wanaoshiriki kuandika makala za awali za Kiswahili

Orodha fupi:

  • Orodha ya Waafrika mashuhuri
      Wanasiasa: Wanasiasa wa mataifa ya Afrika
  • Wasanii na waaandishi wa vitabu:


Mapendekezo ya mambo mengine ya kujumuisha katika kamusi elezo hii yanakaribishwa.

Mikutano ijayo

Kawaida mikutano hufanyika kupitia teknolojia ya IRC

Mkutano wa mwisho ulipangwa kufanyika jumamosi ya tarehe kwanza, Oktoba, 2005.


Malengo ya kutimiza kabla ya mkutano ujao:

#1: kuongeza idadi ya washiriki katika mkutano ujao #2: kuongeza idadi ya watu watakaoshiriki kuhariri kamusi elezo hii #3: kutafsriri ukurasa wa wikipedia:jamii  #4: kuweka viunganishi vya makala au mambo yanayohusiana ndani ya makala mbalimbali za Kiswahili 

Maoni

Tafadhali weka maoni na mawazo yako katika ukurasa wa mazungumzo. Sj

Tags:

jamii UhamasishajiUtangazajijamii Watu wenye nia ya kushirikijamii Mikutano ijayojamii MaonijamiiWikipedia:Jamii/En

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

LakabuOlduvai GorgeUEFAMeridianiAfrika ya MasharikiOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaMuundo wa inshaMkoa wa MaraShuleNigeriaRisalaLigi Kuu Uingereza (EPL)UtohoziTashihisiHaki za binadamuNabii EliyaMohammed Gulam DewjiUsafi wa mazingiraUfugaji wa kukuMnazi (mti)AngahewaSanaa za maoneshoSerikaliWachaggaUzazi wa mpango kwa njia asiliaTaswira katika fasihiHifadhi ya Taifa ya NyerereMitume na Manabii katika UislamuBibliaHarusiRose MhandoMalariaMichoro ya KondoaNamba za simu TanzaniaHali ya hewaDaktariKamusi elezoViungo vinavyosafisha mwiliUandishiCleopa David MsuyaShangaziRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniWaziri wa Mambo ya Ndani (Tanzania)SumakuMandhariSayariMuundoFiston MayeleMfumo wa nevaMuda sanifu wa duniaNahauKinembe (anatomia)Historia ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoMkoa wa MorogoroOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaBarua pepeKenyaTamthiliaNgeliOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaViwakilishiKiingerezaOrodha ya makabila ya TanzaniaRitifaaMasharikiKondomu ya kikeChristina ShushoMapambano ya uhuru TanganyikaMbeya (mji)KibwagizoElimuMashariki ya KatiIrene UwoyaNathari🡆 More