Umande

Umande (pia: unyevu, ukungu; kwa Kiingereza: dew) ni maji yaliyo katika mfumo wa vijitone vionekanavyo juu ya vitu, hasa mimea, wakati wa asubuhi kutokana na utoneshaji na baridi.

Umande
Tone la umande juu ya jani la mchikichi.
Umande
Matone ya umande juu ya jani.
Umande
Umande mzito kwenye nyasi.

Wakati halijoto ni ya chini vya kutosha umande huchukua umbo la barafu liitwalo sakitu. Kwa kuwa umande unategemeana na halijoto ya nyuso za vitu, mwishoni mwa msimu wa joto, umande hujitokeza kwa urahisi kwenye nyuso ambazo hazijatiwa joto kutoka chini ardhini kama vile nyasi, majani, mataruma ya reli, paa za magari na madaraja.

Umande Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Umande kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

AsubuhiBaridiKiingerezaKituMajiMimea

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

UkabailaMkoa wa KageraWalawi (Biblia)Jamhuri ya Watu wa ChinaKondomu ya kikeUtawala wa Kijiji - TanzaniaAina za manenoAli KibaTanganyika (ziwa)JeshiSaidi Salim BakhresaNdovuHadithi za Mtume MuhammadMkoa wa RuvumaRisalaMaudhui katika kazi ya kifasihiMajeshi ya Ulinzi ya KenyaSheriaToharaOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaAfrika Mashariki 1800-1845MtaalaKamusiMaadiliOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaOrodha ya visiwa vya TanzaniaMariano DíazVisakaleUtanzuMjusi-kafiriMaudhuiFalme za KiarabuMzeituniMizani (kundinyota)WairaqwFani (fasihi)Farid MussaViwakilishi vya idadiNadir Haroub AliBongo FlavaPasifikiOrodha ya viwanja vya michezo TanzaniaViwakilishi vya kumilikiRihannaKamusi za KiswahiliUislamuVielezi vya namnaDhima ya fasihi katika maishaViunganishiSadio ManeTovutiMahakama ya TanzaniaLimauJumamosiKukuKiraiKikoreaNuruBendera ya TanzaniaTaswira katika fasihiShinikizo la juu la damuKinjikitile NgwaleHistoria ya IranUrusiAkiliMkoa wa IringaEe Mungu Nguvu YetuUtumwaMtume PetroBinadamuKishazi tegemeziJohn MagufuliNandyWaziri Mkuu wa TanzaniaMr. BlueKinembe (anatomia)🡆 More