Umaksi

Umaksi (pia: Umarksi, Umarx, kwa Kiingereza Marxism) ni falsafa ambayo inafuata uyakinifu na inakusudia kuleta maendeleo ya haraka katika jamii kuanzia uchumi unaotazamwa kuwa msingi wa mahusiano yote.

Umaksi
Karl Marx

Lengo kuu ni kuondoa matabaka katika jamii na kuleta usawa katika ya binadamu. Njia ni kuwawezesha wanyonge kudai haki zao kwa kuungana na kuleta mapinduzi dhidi ya wanyonyaji.

Katikati ya karne ya 19, waanzilishi wa jitihada hizo walikuwa Wajerumani wawili: Karl Marx na Friedrich Engels. Jina Umaksi linatokana na wa kwanza kati yao, Marx.

Umaksi uliendelezwa na watu mbalimbali hasa katika karne ya 20 kadiri siasa hiyo ilivyozidi kuenea duniani, hadi kuongoza maisha ya theluthi ya binadamu wote. Kati yao, Vladimir Ilich Lenin, Leon Trotsky, Joseph Stalin nchini Urusi na Mao Zedong huko China. Katika Umoja wa Kisovyeti na nchi zilizotawaliwa na Wakomunisti mabadiliko ya fundisho hili yaliitwa Umaksi-Ulenin (Marxism-Leninism) na kuwa itikadi rasmi.

Baada ya ukomunisti kushindikana Ulaya Mashariki pamoja na Urusi kusambaratika (1989), mvuto wa falsafa hiyo umepungua sana.

Tanbihi

Marejeo

  •   Invalid |name-list-format=scap (help)
  •   Invalid |name-list-format=scap (help)
  •   Invalid |name-list-format=scap (help)
  •   Invalid |name-list-format=scap (help)
  •   Invalid |name-list-format=scap (help)
  • .  Invalid |name-list-format=scap (help)
  • .  Invalid |name-list-format=scap (help)
  •   Invalid |name-list-format=scap (help)

Viungo vya nje

Umaksi 
Wiki Commons ina media kuhusu:

Tags:

FalsafaJamiiKiingerezaMaendeleoUchumiUyakinifu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

YerusalemuMatumizi ya LughaNyasa (ziwa)Mitume na Manabii katika UislamuKaabaPistiliBendera ya TanzaniaAfrika ya Mashariki ya KijerumaniUgonjwa wa ParkinsonAunt EzekielSaidi NtibazonkizaNominoOrodha ya visiwa vya TanzaniaTabiaOrodha ya nchi za AfrikaJeshiNomino za pekeeMbooMachweoBata MzingaMadiniUandishi wa ripotiMkondo wa umemeBundukiUainishaji wa kisayansiLahajaTaasisi ya Taaluma za KiswahiliLatitudoLingua frankaMbaraka MwinsheheUyahudiMikoa ya TanzaniaNamba tasaShirika la Utangazaji TanzaniaLongitudoUandishiMisemoAlmasiMazingiraUkristo nchi kwa nchiFutiKibena (Tanzania)Haki za binadamuChakulaKata (maana)Orodha ya Watakatifu wa AfrikaVivumishi vya kumilikiFasihiRejistaUgonjwa wa uti wa mgongoAlama ya uakifishajiInsha ya wasifuNgonjeraKamusi za KiswahiliNahauKata za Mkoa wa Dar es SalaamKutoka (Biblia)SarufiRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniMamaSoko la watumwaReal MadridWabondeiUpendoUrusiMishipa ya damuHistoria ya UturukiNomino za jumlaUmoja wa MataifaNenoTafsidaSemantikiUbongoKanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaMajigambo🡆 More