Tewodros II (takriban 1818 – 13 Aprili 1868) alikuwa mfalme mkuu wa Uhabeshi kuanzia 11 Februari 1855 hadi kifo chake.
Alimfuata Yohannes III aliyeuzuliwa naye. Jina lake la kubatizwa lilikuwa Kassa Haile Giyorgis. Ingawa hakuwa mrithi wa ufalme aliwashinda wagombea wote vitani. Waingereza walipovamia Uhabeshi chini ya kamanda ya Robert Napier na kushinda jeshi la Uhabeshi, Tewodros II alijiua. Aliyemfuata ni Tekle Giyorgis II.
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Uhabeshi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tewodros II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Tewodros II, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.