Taratibu za uandishi ni mfumo wa alama na mpangilio wa maneno unaomwongoza mtu kuandika vizuri.
Taratibu hizo zinatakiwa ili ujumbe ueleweke kwa msomaji, lakini pia zinafanya uandishi upendeze hata kuwa aina mojawapo ya sanaa.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Taratibu za uandishi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Taratibu za uandishi, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.