Siku Ya Kimataifa Ya Watu Wenye Ulemavu

Siku ya Kimataifa ya Watu wenye Ulemavu ni siku ya kimataifa ambayo huadhimishwa kila tarehe 3 Disemba ya kila mwaka.

Mwanzoni ilikuwa ikijulikana kama siku ya kimataifa ya Walemavu lakini kufikia mwaka 2007 siku hii ilibadilishwa jina.

Siku hii ilianza kuadhimishwa mwaka 1992 na Umoja wa Mataifa, na tangu kuanzishwa kwa siku hii kumekuwa na mafanikio mbalimbali duniani.

Malengo ya siku hii ni kuongeza uelewa juu ya mambo yanayohusu watu wenye Ulemavu pamoja na kutoa elimu juu ya haki zao pamoja na hali njema, lakini pia, siku hii hutazamiwa kuongeza uelewa kwa watu wenye ulemavu katika masuala mbalimbali kama vile Uraia, siasa, uchumi na utamaduni. Kila mwaka siku hii huja na malengo tofauti tofauti.

Marejeo

Tags:

20073 Disemba

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Haki za binadamuTabianchi ya TanzaniaRastafariDayolojiaJongooTeknolojiaYoung Africans S.C.PamboBahatiUchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2020Kassim MajaliwaDuniaMbuniUandishi wa ripotiSamliViwakilishi vya kuoneshaLimauNigeriaUkimwiUajemiMadhara ya kuvuta sigaraNenoUjuziKilwa KisiwaniShinikizo la juu la damuMafurikoKamusi za KiswahiliMartha MwaipajaManchester CityBarua rasmiChelsea F.C.Uenezi wa KiswahiliMatiniUmmy Ally MwalimuMajira ya baridiUfisadiWikiAfrika Mashariki 1800-1845Shinikizo la ndani ya fuvuMtume PetroDiamond PlatnumzHeshimaVita ya Maji MajiHistoria ya EthiopiaMuunganoKiambishiKatibaDini asilia za KiafrikaRose MhandoMtakatifu MarkoHistoria ya WasanguOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaOrodha ya nchi za AfrikaNamba tasaDagaaOrodha ya miji ya TanzaniaUgonjwa wa uti wa mgongoMkoa wa TangaAlasiriMkoa wa RuvumaUbatizoHistoria ya AfrikaMapenziMawasilianoBob MarleyMahakamaStafeliNimoniaPesaHistoria ya TanzaniaTungo kishaziRejistaViungo vinavyosafisha mwiliMilango ya fahamuUfupisho🡆 More