Siku 16 Za Kupinga Ukatili Wa Kijinsia

Siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia ni kampeni ya kimataifa ya kupinga ukatili dhidi ya wanawake.

Kampeni hii hufanyika kuanzia tarehe 25 Novemba na kumalizika tarehe 10 Desemba ya kila mwaka kwa ajili ya kupinga ukatili na kutetea haki za wanawake.

Siku 16 Za Kupinga Ukatili Wa Kijinsia
Watoto wakiwa katika moja ya maadhimisho ya kupinga ukatili wa kijinsia, Arusha, Tanzania.

Siku hiyo ilianza kuadhimishwa rasmi mwaka 1991,siku hii inaongozwa na Kituo cha kimataifa cha Wanawake tarehe 10 ilichaguliwa rasmi kuwa siku ya kilele cha maadhimisho haya ikiambatana na siku ya haki za binadamu duniani.

Tangu mwaka 1991, zaidi ya asasi 6,000 na zaidi ya nchi 187 hushiriki katika maadhimisho haya.

Maadhimisho

Siku hizi 16 za kupinga ukatili wa kijinsia huambatana na siku mbalimbali ambazo huadhimishwa ndani ya siku kumi na sita za mwezi Novemba na Desemba.

  • Novemba 25 – Siku ya kupinga ukatili na unyanyasaji dhidi ya wanawake
  • Novemba 29 – Siku ya kimataifa ya watetezi wa haki za wanawake
  • Desemba 1 – Siku ya Ukimwi duniani
  • Desemba 5 – Siku ya kujitolea duniani
  • Desemba 10 – Siku ya Kimataifa ya haki za binadamu

Marejeo

Siku 16 Za Kupinga Ukatili Wa Kijinsia  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

10 Desemba25 NovembaHaki za wanawakeKampeniTareheUkatiliWanawake

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Kilimanjaro (volkeno)Benjamin MkapaVitendawiliPaul MakondaUNICEFNyangumiMagimbiLuka ModricHafidh AmeirBiblia ya KikristoMbeya (mji)Daudi (Biblia)Israeli ya KaleTungo kishaziYoung Africans S.C.Mapenzi ya jinsia mojaNelson MandelaNyumba ya MunguUsawa (hisabati)MnyamaMaji kujaa na kupwaJoyce Lazaro NdalichakoStadi za maishaKumaDhamiraOrodha ya Marais wa MarekaniTanganyika African National UnionHali ya hewaMtoto wa jichoMuhammadMsituSilabiSemiImaniTafsiriWachaggaBaraza la mawaziri TanzaniaNusuirabuMajiHistoria ya IranKipandausoUkooLenziHistoria ya IsraelMitume na Manabii katika UislamuHistoria ya UislamuTanzaniaUzazi wa mpango kwa njia asiliaPunyetoFiston MayeleMajigamboChristina ShushoLugha ya kwanzaAmfibiaJulius NyerereBaraLakabuZana za kilimoHistoria ya UturukiIniMtiMgawanyo wa AfrikaKoloniNomino za kawaidaRejistaMungu ibariki AfrikaAina za manenoMaudhuiNyumbaShinikizo la juu la damuMkoa wa MbeyaMadini🡆 More