Raga: Ragibi

Raga (ing.

Nje ya Jumuiya ya Madola mchezo huo ni maarufu Ufaransa, Argentina na Japani.

Raga: Ragibi
Tackling ya rugby

Rugby ilianzishwa nchini Uingereza sambamba na mpira wa miguu Wakati wa karne ya 19. American Football imezaliwa kutoka kwa rugby ya Kiingereza.

Shabaha ya mchezo ni kubeba au kukanyaga mpira kupitia timu ya wapinzani hadi goli na kuuingiza kwenye goli juu ya mti wa kulala.

Mpira una umbo la duaradufu. Timu mbili ambazo kwa kawaida huwa na wachezaji 15 zinashindana. Mpira unaweza kushikwa kwa mkono; kuna rukhsa kuupa kwa mchezaji mwingine au kuutupa nyuma. Lakini kuutupa mbele ni kosa ndogo unaofuatwa na tendo la "scrum". Hapo mpira unawekwa chini na wachezaji 8 wa kila timu wanashikamana na kusukumana hadi mchezaji mmoja anaweza kushika tena mpira.

Kuna rukhsa kumzuia mchezaji na kumwangusha kwa kumshika nyuma ya msari wa mabega. Tendo hili linaitwa "tackle". Akianguka china anapaswa kuachana na mpira. Wakati mchezaji analala chini wengine hawaruhusiwi kushika mpira kwa mikono.


Raga: Ragibi Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Raga kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Afrika KusiniArgentinaAustraliaFijiIng.JapaniJumuiya ya MadolaMchezoMpiraNyuzilandiSamoaTongaUfaransaUingerezaVisiwa vya CookWelisiZimbabwew:rugby

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Historia ya BurundiDuniaMichezo ya jukwaaniIstanbulMuunganoRiwayaHaki za binadamuStadi za lughaBaraDiniMfumo katika sokaMaambukizi nyemeleziKinywajiUandishiLahaja za KiswahiliAustraliaUmoja wa KisovyetiBendera ya TanzaniaUgonjwa wa malaleLil WayneUsawa (hisabati)MwanzoKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniYerusalemuIdhaa ya Kiswahili ya Radio TehranRoho MtakatifuChakulaViwakilishiNgonjeraHurafaMillard AyoDemokrasiaSteve MweusiMaliasiliMnyoo-matumbo MkubwaMtandao wa kompyutaChe GuevaraFasihi andishiManispaaJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaDhamiraWazaramoDayolojiaJamhuri ya Watu wa ZanzibarVidonda vya tumboUsafi wa mazingiraMajeshi ya Ulinzi ya KenyaWasukumaLionel MessiShangaziSarufiOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaBahari ya HindiUyakinifuMkoa wa SingidaKiarabuInsha ya wasifuMaskiniHistoria ya WapareNikki wa PiliMartha MwaipajaSalim KikekeAkiliPijini na krioliUfilipinoAmri KumiMtotoFonolojiaMkoa wa MwanzaKilwa KisiwaniNomino za jumlaAina za maneno🡆 More