Mkoa Wa Plateaux, Togo

Mkoa wa Plateaux ni mojawapo ya mikoa mitano ya Togo.

Plateaux iko kaskazini kwa Mkoa wa Maritime na kusini kwa Mkoa wa Kati (Centrale).

Mkoa Wa Plateaux, Togo
Hifadhi ya msitu wa Deux Bena iko kwa kimo cha mita 800 kwenye Mkoa wa Plateaux
Mkoa Wa Plateaux, Togo
Mkoa wa Plateaux
Mkoa Wa Plateaux, Togo
Mikoa ya Plateaux

Upande wa magharibi mkoa unapakana na Ghana na upande wa mashariki unapakana na Benin.

Jina "Plateaux" linamaanisha nyanda za juu. Mlima Agou (mita 986) ni sehemu ya juu zaidi nchini Togo.

Mkoa huo una eneo la kilomita za mraba 16,975. Plateaux ni mkoa mkubwa zaidi kieneo na ina idadi ya pili ya wakazi baada ya Mkoa wa Maritime kwa sababu mwaka 2020 walikadiriwa kuwa 1,705,300.

Makao makuu ya mkoa yako mjini Atakpame.

Miji mingine mikubwa katika eneo la Plateaux ni pamoja na Kpalime na Badou.

Plateaux imegawanywa katika wilaya za Agou, Amou, Danyi, Est-Mono, Haho, Kloto, Moyen-Mono, Ogou na Wawa.

Marejeo

Tags:

KaskaziniKusiniMikoa ya TogoMkoa wa Kati, TogoMkoa wa Maritime, TogoTogo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

ImaniMkoa wa KilimanjaroArusha (mji)Vita vya KageraOrodha ya makabila ya TanzaniaIhefu F.C.Matendo ya MitumeVita Kuu ya Pili ya DuniaBibliaNdovuMuundoKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniBob MarleyMshororoOrodha ya nchi kufuatana na wakaziKiambishi tamatiOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaDubai (mji)NimoniaHistoria ya WokovuMwanzo (Biblia)SikioUtawala wa Kijiji - TanzaniaKilatiniMwenyezi MunguAunt EzekielMisimu (lugha)Orodha ya miji ya TanzaniaMunguFani (fasihi)Lugha ambishi bainishiPentekosteHoma ya iniNadhiriMwanzoNabii EliyaMkoa wa NjombeVirusi vya UKIMWIUgonjwa wa moyoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaSteven KanumbaSexNileMwai KibakiKenyaVivumishi vya sifaUtumbo mpanaNgedereKamusi ya Kiswahili sanifuMbossoFiston MayeleVielezi vya namnaLughaKondomu ya kikeKitaluNomino za pekeeAslay Isihaka NassoroZama za MaweNeemaPombeOsama bin LadenOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaMofimuKupatwa kwa MweziUfeministiHistoria ya KanisaFonetikiNguvaVichekeshoBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiOrodha ya vitabu vya BibliaTaasisi ya Taaluma za KiswahiliEnglish-Swahili Dictionary (TUKI)DemokrasiaAbrahamuHuduma ya kwanza🡆 More