Petro Baptista

Petro Baptista (kwa Kihispania San Pedro Bautista), alikuwa balozi wa Hispania nchini Japani, mkuu wa Ndugu Wadogo Pekupeku wamisionari huko, padri aliyehudumia wakoma, na hatimaye akawa kiongozi wa wafiadini 26 waliouawa msalabani tarehe 5 Februari 1597.

Petro Baptista
Wakristo 26 waliosulubiwa huko Nagasaki, Japani.

Alitangazwa na Papa Urban VIII kuwa mwenye heri tarehe 14 Septemba 1627, halafu Papa Pius IX akamtangaza mtakatifu tarehe 8 Juni 1862.

Sikukuu yake na ya wafiadini wenzake huadhimishwa kila mwaka tarehe 6 Februari.

Tazama pia

Tanbihi

Petro Baptista  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Tags:

15975 FebruariBaloziHispaniaJapaniKihispaniaKiongoziMsalabaNdugu WadogoPadriTareheWafiadiniWamisionari

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

LongitudoUbongoUrusiMaudhui katika kazi ya kifasihiWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiUfilipinoKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniMhusika (fasihi)IsraelWaluguruMuzikiNyegeKamusi ya Kiswahili - KiingerezaKiingerezaZiwa ViktoriaOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaP. FunkChumaMfumo wa Msimbo wa Posta TanzaniaMbuyuHistoria ya WapareSaratani ya mlango wa kizaziHeshimaNyaniMizimuMavaziViwakilishi vya urejeshiBiashara ya masafa marefu ya Afrika MasharikiMkoa wa IringaMwanga wa JuaMsokoto wa watoto wachangaNomino za dhahaniaHistoria ya UislamuThamaniUtandawaziItikadi kaliVita ya Maji MajiUsawa (hisabati)Mbadili jinsiaOrodha ya Marais wa TanzaniaLady Jay DeeUkomeshaji wa Biashara ya WatumwaWahaOrodha ya mito nchini TanzaniaMadiniFamiliaUmoja wa AfrikaChawaBendera ya TanzaniaMatiniNikki wa PiliKukuBloguMtotoMalariaMajigamboOrodha ya Marais wa BurundiIsimuTungo kiraiMbuga wa safariFigoUkanda wa GazaTashbihaMapenziHakiLafudhiUjerumaniKibu DenisTaswira katika fasihiMwanamkeHurafaVihisishiHerufi za KiarabuZama za ChumaVielezi vya wakatiItifakiJamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo🡆 More