Kenya ni nchi ya lugha nyingi.
Lugha zake za taifa ni Kiswahili na Kiingereza. Kuna jumla ya lugha 62 zinazozungumzwa nchini Kenya (kulingana na Ethnologue), nyingi zikiwa za asili ya Kiafrika na baadhi za asili ya Kiasia na Mashariki ya Kati.
Lugha za asili nchini Kenya zimetokana na familia tatu:
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Orodha ya lugha za Kenya, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.