Astana

Astana ni mji mkuu wa Kazakhstan.

Kuna wakazi 1 350 228 (mwaka 2022).

Astana
Sehemu ya Mji wa Astana.


Astana
Nchi Kazakhstan
Astana
Nembo ya mji.

Jina

Mji uliitwa kwa jina "Akmola" ukateuliwa mwaka 1997 kuwa mji mkuu badala ya Almaty. Jina jipya la "Astana" lilimaanisha "mji mkuu". Uhamisho wa mji mkuu umesababishwa na nia ya kupeleka makao makuu ya serikali katika moyo wa nchi ilhali Almaty iko kando kabisa, mpakani mwa Kirgizia.

Mwaka 2019 jina limebadilishwa tena kuwa Nursultan kwa heshima ya rais mstaafu Nursultan Nazarbayev.

Mnamo septemba 17, 2022, Rais Tokayev alisaini amri juu ya kubadili jina la mji Mkuu Kwa Astana. Amri ilianza kutumika tangu tarehe ya kuchapishwa.

Astana  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Astana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

2022KazakhstanMji mkuuMwaka

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mkoa wa ManyaraMzunguKifua kikuuBundukiMbwa-mwitu DhahabuUgonjwa wa kuharaHistoria ya ZanzibarPijini na krioliNyumbaMartin LutherMawasilianoDiamond PlatnumzVieleziTungo kishaziUtataOrodha ya vitabu vya BibliaMwanaumeMkoa wa ShinyangaTabainiSemiOsama bin LadenHoma ya iniMkoa wa TaboraVivumishi vya sifaTausiHistoria ya Kanisa KatolikiViwakilishiViwakilishi vya sifaMajiMtoto wa jichoYerusalemuBaraza la mawaziri TanzaniaOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaBinadamuKitabu cha Yoshua bin SiraMkoa wa Dar es SalaamUongoziKinembe (anatomia)KipindupinduMfumo wa vyama vingiNandyMatumizi ya lugha ya KiswahiliWanyaturuJumuiya ya MadolaJumuiya ya Afrika MasharikiBenjamin MkapaBarabaraUtapiamloMsamiatiMuungano wa Tanganyika na ZanzibarAunt EzekielWimboAmfibiaVatikaniMkoa wa DodomaWordPressAfrika ya MasharikiNomino za pekeeUbuntuKisimaUgonjwa wa uti wa mgongoMatiniPepopundaArsenal FCNomino za wingiKaswendeJakaya KikweteUkabailaVivumishi vya urejeshiKupatwa kwa MweziSamia Suluhu HassanOrodha ya nchi za AfrikaJinsiaMti🡆 More