Nikola Tesla (10 Julai 1856 – 7 Januari 1943; Kiserbokroatia: Никола Тесла) alikuwa mhandisi na mwanafizikia kutoka milki ya Austria-Hungaria aliyehamia baadaye Marekani.
Nikola Tesla | |
---|---|
| |
Alizaliwa | 10 Julai 1856 Austria-Hungaria |
Alikufa | 7 Januari 1943 New York |
Nchi | Austria-Hungaria, Marekani |
Kazi yake | mhandisi na mwanafizikia |
Tesla alizaliwa katika familia ya Kiserbia, alisoma uhandisi akajishughulisha hasa na umeme na sumakuumeme.
Mwaka 1884 alihamia Marekani alipoajiriwa na Thomas Edison lakini baadaye alitoka katika kampuni yake.
Kati ya mengi aliyobuni au aliyochangia kuna
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Nikola Tesla, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.