Netflix

Netflix ni kampuni ya Marekani inayotoa huduma ya kutazama filamu na vipindi vya runinga kupitia intaneti.

Netflix

Wateja wananunua huduma kwa muda wa miezi fulani halafu wanaweza kutazama filamu zilizomo katika hazinadata ya Netflix.

Mteja hawezi kupakua media hizo yaani hawezi kubaki na nakala ya filamu bali anaiangalia moja kwa moja.

Kwenye mwaka 2021 Netflix ilikuwa na wateja milioni 209 kote duniani.

Marejeo

Viungo vya Nje

Netflix  Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

FilamuHudumaIntanetiKampuniMarekaniRuninga

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

JiniUharibifu wa mazingiraMazingiraKoffi OlomideTafsiriRushwaUyahudiHarusiUfugaji wa kukuMvuaKibwagizoAthari za muda mrefu za pombeNyaniMfuko wa Taifa wa Hifadhi ya JamiiMofolojiaUhakiki wa fasihi simuliziTundu Antiphas Mughwai LissuMbooOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaNafsiViwakilishi vya -a unganifuJulius NyerereSkeliRejistaOrodha ya maziwa ya TanzaniaHektariChuo Kikuu cha Dar es SalaamHistoria ya WasanguBendera ya TanzaniaNduniMohamed HusseinSarufiTenziUzazi wa mpango kwa njia asiliaTungoWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiPauline Philipo GekulHistoria ya Kanisa KatolikiMnyoo-matumbo MkubwaMohammed Gulam DewjiDhamiraMaji kujaa na kupwaMuundoMkoa wa Dar es SalaamMafumbo (semi)Adolf HitlerHoma ya mafuaBob MarleyOrodha ya miji ya TanzaniaAzimio la ArushaUtawalaAustraliaMaumivu ya kiunoMadiniKaziDhahabuMaadiliKengeMshororoMtandao wa kijamiiUti wa mgongoPijiniLahaja za KiswahiliVitenzi vishirikishi vikamilifuMuungano wa Madola ya AfrikaMfumo wa upumuajiKupatwa kwa JuaMazungumzoKisaweVitendawiliMito ya KenyaMoses KulolaMkoa wa MorogoroWamalila🡆 More