Mvuke

Mvuke hutaja maji yaliyoingia katika hali ya gesi lakini inaweza kutaja gesi yoyote iliyotokana na kiowevu kama kinaongezeka joto.

Badiliko la kiowevu kuwa mvuke huitwa uvukizaji.

Mvuke
Mvuke usioonekani ukipanda juu na kuingia katika hewa ya baridi unaanza kuowevya na kuwa matone madogo yanayoonekana

Kwa kawaida tunaita "mvuke" ya maji unaoonekana kama moshi mweupe unaopanda juu ya uso wa maji yanayopashwa moto. Lakini kwa macho ya fizikia hii si mvuke halisi bali mchanganyiko wa matone madogo ya maji na hewa. Mvuke kamili haionekani.

Mvuke hushika nishati ndani yake ambao ni umbo badili la nishati ya joto iliyobadilisha maji (au kiowevu kingine) kuwa mvuke. Hapo ndipo msingi wa kutumia nguvu iliyopo ndani ya mvuke kwa kufanya kazi kwa mfano kwa njia ya injini ya mvuke.

Tags:

GesiKiowevuMajiUvukizaji

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Tanganyika (ziwa)HarmonizeMkoa wa RuvumaNembo ya TanzaniaInsha zisizo za kisanaaIsimujamiiMawasilianoWabondeiSaratani ya mlango wa kizaziPalestinaUchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2020SanaaMkoa wa IringaNamba tasaAlama ya uakifishajiGhanaSerikaliMbuNdege (mnyama)DhamiraMjusi-kafiriKilwa KisiwaniSarufiTenziMkoa wa RukwaMahakamaMwanzoUraibuToharaSalim KikekeUtataHekaya za AbunuwasiTungo kishaziHekimaViwakilishi vya kuulizaJipuFonetikiUmoja wa KisovyetiMnyoo-matumbo MkubwaMkondo wa umemeMsalaba wa YesuFalme za KiarabuShengKata (maana)William RutoBaraSiasaManchester United F.C.UajemiMaghaniWakingaKanisa KatolikiAmri KumiMsamiatiKamusi za KiswahiliWaluguruMkutano wa Berlin wa 1885TungoFonimuZuchuUbuddhaVidonge vya majiraKimondo cha MboziNomino za jumlaTungo sentensiHistoria ya Kanisa KatolikiKiambishiPijini na krioliBikira MariaMimba kuharibikaAsili ya KiswahiliBomu la nyukliaKumamoto, KumamotoSanaa za maoneshoUchawi🡆 More