Hevea Mpira

Mpira ni spishi ya mti (Hevea brasiliensis) katika familia Euphorbiaceae.

Mpira
(Hevea brasiliensis)
Kiunga cha mipira
Kiunga cha mipira
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Malpighiales (Mimea kama mwenda-usiku)
Familia: Euphorbiaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mtongotongo)
Nusufamilia: Crotonoideae (Mimea iliya na mnasaba na mlalai)
Kabila: Micrandreae (Mimea inayofanana na mpira)
Jenasi: Hevea
Spishi: Hevea brasiliensis
Müll.Arg.

Utomvu wake huvunwa ili kutengeneza dutu kinamo inayoitwa mpira pia. Jina “mpira” hutumika pia kwa miti ingine kama Landolphia kirkii, Saba comorensis, Manihot glaziovii, Sonneratia alba na S. caseolaris.

Picha

Tags:

Familia (biolojia)MbungoMtiSpishiUtomvu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MsumbijiPamboOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaYvonne Chaka ChakaMabantuHurafaAfrika Mashariki 1800-1845WabondeiOrodha ya Marais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoBikiraKataAfyaAlfabetiMaishaSerie AMaumivu ya kiunoMtakatifu MarkoViwakilishi vya kuoneshaHali ya hewaChakulaKitenziArusha (mji)MadhehebuUtandawaziMuungano wa Madola ya AfrikaNgeliSexAmfibiaKiingerezaMitume wa YesuThamaniOrodha ya Marais wa UgandaKisaweMisemoNungununguOrodha ya milima mirefu dunianiMsongolaKiwakilishi nafsiReal MadridTanzaniaMapinduzi ya ZanzibarSalim KikekeJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoJakaya KikweteMkoa wa KageraHifadhi ya Mlima KilimanjaroUjimaTarakilishiWimboHistoria ya TanzaniaNgono zembeMazingiraFamiliaKiumbehaiHerufi za KiarabuUandishi wa inshaMpira wa kikapuHistoria ya WapareBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiMohammed Gulam DewjiMajigamboMuda sanifu wa duniaTetemeko la ardhiUhakiki wa fasihi simuliziUkristoSheng23 ApriliMkoa wa NjombeBunge la TanzaniaUtafitiMmomonyokoIntanetiWikipediaMkoa wa ManyaraKata za Mkoa wa Dar es SalaamSaidi Salim Bakhresa🡆 More