Mkiwi

Spishi 8 zilizo na matunda yaliwayo kwa kawaida (jumla >40):

Mkiwi
Mikiwi ikitoa matunda
Mikiwi ikitoa matunda
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Asterids (Mimea kama alizeti)
Oda: Ericales (Mimea kama mdambi)
Familia: Actinidiaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mkiwi)
Jenasi: Actinidia
Lindl.
Ngazi za chini

  • A. arguta (Siebold & Zucc.) Planch. ex Miq.
  • A. chinensis Planch.
  • A. coriacea (Finet & Gagnep.) Dunn
  • A. deliciosa (A.Chev.) C.F.Liang & A.R.Ferguson
  • A. kolomikta (Maxim. & Rupr.) Maxim.
  • A. melanandra Franch.
  • A. polygama (Siebold & Zucc.) Maxim.
  • A. purpurea Rehder

Mikiwi ni mimea ya jenasi Actinidia katika familia Actinidiaceae. Mimea hii ni vichaka vyenye urefu wa hadi m 6 au mitambazi ya hadi m 30. Inazaa matunda yalikayo ambayo huitwa kiwi. Asili ya mimea hii ni Asia ya Mashariki lakini spishi kadhaa hukuzwa katika nchi nyingine, mkiwi wa kawaida (Actinidia deliciosa) hasa katika Italia na Nyuzilandi.

Spishi zinazoliwa sana

  • Actinidia arguta, Mkiwi Mvumilivu (Hardy kiwi au arctic kiwi)
  • Actinidia chinensis, Mkiwi Njano (Golden kiwi)
  • Actinidia coriacea, Mkiwi Matunda-mayai (Chinese egg gooseberry)
  • Actinidia deliciosa, Mkiwi Matunda-manyoya, Mkiwi wa Kawaida au Mkiwi kwa kifupi (Fuzzy kiwi)
  • Actinidia kolomikta, Mkiwi Rangirangi (Variegated kiwi vine)
  • Actinidia melanandra, Mkiwi Zambarau (Red kiwi)
  • Actinidia polygama, Mkiwi Fedha (Silver vine)
  • Actinidia purpurea, Mkiwi Zambarau (Purple kiwi)

Picha

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mfumo wa mzunguko wa damuYouTubeMkoa wa ArushaHifadhi ya NgorongoroKipandausoWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiMbuni (maana)Kitabu cha IsayaMkoa wa DodomaMuundo wa inshaPichaMapambano ya uhuru TanganyikaMashariki ya KatiAfya na mwonekano wa Michael JacksonSanaa za maoneshoUharibifu wa mazingiraMbwaDayolojiaUshairiNadhiriOrodha ya Magavana wa TanganyikaGameNafsiMtandao wa kompyutaUhakiki wa fasihi simuliziTabianchiMofolojiaHistoria ya WokovuAbedi Amani KarumeKiarabuSamakiDubuMajina ya Yesu katika Agano JipyaMbuga za Taifa la TanzaniaHoma ya matumboKipaimaraMapenzi ya jinsia mojaAntibiotikiKanuni ya Imani ya Nisea-KonstantinopoliHerufiMusaJiografia ya TanzaniaMartin LutherUandishi wa inshaKiambishi tamatiOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaMsumbijiFisiTasifidaUkristoBibliaKata za Mkoa wa Dar es SalaamMwenge wa UhuruMkoa wa MtwaraWapogoloSanaaOrodha ya Marais wa TanzaniaShetaniSodomaOrodha ya nchi za AfrikaMuungano wa Tanganyika na ZanzibarKishazi huruOrodha ya volkeno nchini TanzaniaKilatiniMkoa wa PwaniMazungumzoBungeHadithi za Mtume MuhammadWangoniSiasaUtarakilishiLugha ya isharaUaOrodha ya hospitali nchini Tanzania🡆 More